VPL yafikia tamati, Polisi Moro na Ruvu Shooting zashuka daraja.
PAZIA la Ligi Kuu ya Tanzania Bara limehitimishwa leo kwenye viwanja saba tofauti na kushuhudiwa timu mbili zinazomilikiwa na majeshi Ruvu Shooting na Polisi Moro zikishuka daraja.
Ruvu inayonolewa na kocha, Tom Olaba ilikuwa ugenini Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga na kujikuta ikipokea kipigo cha bao 1-0 na wenyeji wao Stand United ambayo ushindi huo umeifanya kufikisha pointi 31 katika nafasi ya 10.
Polisi Moro iliyopanda kucheza Ligi Kuu msimu huu, ilikubali kipigo cha bao 1-0 kutoka...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKLABU YA RUVU SHOOTING YAUNGANA NA POLISI MORO SC KUSHUKA DARAJA LIGI KUU TANZANIA BARA MSIMU WA MWAKA 2014/2015.
![](https://ramadhaniabubakari.files.wordpress.com/2012/10/81.jpg?w=593&h=311)
Ndanda FC imefanikiwa kubaki ligi kuu Tanzania bara baada ya kuilaza Yanga SC bao 1-0 katika uwanja wa Nangwanda mjini Mtwara.
Kipigo walichopata Polisi Moro SC cha bao 1-0 dhidi ya Mbeya City kimewafanya kupata tikiti ya kushuka daraja na kuungana na Ruvu Shooting.
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/00.1stand-united-Vs-mtibwa11.jpg)
Kwa upande wa Stend United yenyewe imepata matokeo mazuri ya bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting na kuinusuru timu hiyo kushuka daraja huku ikiiachia dhahama Ruvu Shooting.
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/TFF-Tanzania-Prisons.jpg)
Kikosi cha Prison.
Klabu za Polisi Moro SC na Ruvu...
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Kliniki ARS yafikia tamati
KLINIKI ya siku tano ya kimataifa ya Airtel Rising Stars (ARS), imefikia tamati jana, huku washiriki wakiwa na shauku kubwa ya kutumia ujuzi waliopata kwa kuwa nyota wa soka kwenye...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Genius Cup ya shule za Feza yafikia tamati Dar
MASHINDANO ya Genius Cup 2014 yamefikia tamati mkoani Dar es Salaam kwa kupata washindi watatu bora, baada ya kufanya mitihani ya Sayansi na Hisabati, ikilenga kutoa fursa kwa wanafunzi kupenda...
10 years ago
VijimamboMASHINDANO YA MTEMVU CUP YAFIKIA TAMATI, KATA YA 14 YAIBUKA KIDEDEA
11 years ago
MichuziKampeni ya Uchangiaji damu iliyoendeshwa na Diwani wa Kipawa,Mh. Bonna Kaluwa yafikia tamati leo
11 years ago
GPLYANGA VS RUVU SHOOTING LINE UP
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Yanga, Ruvu Shooting watambiana
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
7-0 zawakalisha chini Ruvu Shooting
BAADA ya kupigwa kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 7-0 na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi, uongozi wa Ruvu Shooting unatarajiwa kuketi kutafakari na kusaka...