Kampeni ya Uchangiaji damu iliyoendeshwa na Diwani wa Kipawa,Mh. Bonna Kaluwa yafikia tamati leo
Meya wa Ilala, Jerry Silaa akifungua rasmi tamasha la kuchangia damu katika viwanja vya Stakishari, Majumbasita, Dar es Salaam leo. Kampeni hiyo ya siku 10 iliratibiwa na Diwani wa Kipawa Bonnah Kaluwa (CCM).
Meya Silaa akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Damu Salama kabla ya kuchangia damu ili kuwaokoa wagonjwa wakiwemo wakina mama wajawazito katika viwanja vya Sitakishari Majumbasita, Dar es Salaam.
Meya Silaa na Diwani Bonnah wakiendelea kusikiliza maelezo kutoka kwa ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboALIYE KUWA DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONAH KALUWA AFUNGUA KAMPENI DHIDI YA UKATILI WA JINSIA KATIKA SOKO LA TABATA MUSLIM DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
MichuziALIYE KUWA DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONAH KALUWA AFUNGUA KAMPENI DHIDI YA UKATILI WA JINSIA KATIKA SOKO LA TABATA MUSLIM DAR ES SALAAM
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-EYXbjlLREWo/U5vgEQs9ECI/AAAAAAACjZM/ewbmg7rMYIo/s1600/EXIM+BLOOD+PIX+1.jpg)
BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI JUNI 14, 2014
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Kliniki ARS yafikia tamati
KLINIKI ya siku tano ya kimataifa ya Airtel Rising Stars (ARS), imefikia tamati jana, huku washiriki wakiwa na shauku kubwa ya kutumia ujuzi waliopata kwa kuwa nyota wa soka kwenye...
10 years ago
MichuziMrembo Miss Tanzania aongoza wakazi wa dar katika zoezi la uchangiaji damu jijini dar leo
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-b_As5MMU8o8/U9TzsH1No4I/AAAAAAAAFt4/3LXCcf3qBHA/s72-c/IMG_2508.jpg)
KUFUATIA MUAMKO HAFIFU WA UCHANGIAJI DAMU MKOANI RUKWA KUTOKANA NA DHANA POTOFU ZILIZOPO, MADAKTARI WAONYESHA MFANO KWA KUCHANGIA DAMU KATIKA HOSPITALI KUU YA MKOA HUO
![](http://3.bp.blogspot.com/-b_As5MMU8o8/U9TzsH1No4I/AAAAAAAAFt4/3LXCcf3qBHA/s1600/IMG_2508.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Genius Cup ya shule za Feza yafikia tamati Dar
MASHINDANO ya Genius Cup 2014 yamefikia tamati mkoani Dar es Salaam kwa kupata washindi watatu bora, baada ya kufanya mitihani ya Sayansi na Hisabati, ikilenga kutoa fursa kwa wanafunzi kupenda...
10 years ago
VijimamboMASHINDANO YA MTEMVU CUP YAFIKIA TAMATI, KATA YA 14 YAIBUKA KIDEDEA
10 years ago
StarTV10 May
VPL yafikia tamati, Polisi Moro na Ruvu Shooting zashuka daraja.
PAZIA la Ligi Kuu ya Tanzania Bara limehitimishwa leo kwenye viwanja saba tofauti na kushuhudiwa timu mbili zinazomilikiwa na majeshi Ruvu Shooting na Polisi Moro zikishuka daraja.
Ruvu inayonolewa na kocha, Tom Olaba ilikuwa ugenini Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga na kujikuta ikipokea kipigo cha bao 1-0 na wenyeji wao Stand United ambayo ushindi huo umeifanya kufikisha pointi 31 katika nafasi ya 10.
Polisi Moro iliyopanda kucheza Ligi Kuu msimu huu, ilikubali kipigo cha bao 1-0 kutoka...