Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrembo Miss Tanzania aongoza wakazi wa dar katika zoezi la uchangiaji damu jijini dar leo

Mshindi wa tatu wa Miss Tanzania 2014,Doris Mollel akishiriki zoezi la uchangiaji damu katika ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya wanawake Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es Salaam leo. Kushoto Ofisa Muuguzi kutoka Benki ya Damu Salama,Selina Joseph. Zoezi hilo la uchangiaji damu liliandaliwa na Mrembo huyo. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakishiliki zoezi la uchangiaji damu katika kusherehekea Siku ya wanawake Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR.

Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014kulia ni   mkurugenzi wa kamåuni ya LINO International Hashi Lundenga ambao ni waandaaji wa mashindano hayo na kushoto ni  Meneja Masoko wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.  Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya...

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR

Aliyekuwa meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014 kulia ni mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Agency Hashim Lundenga ambao ni waandaaji wa mashindano hayo na kushoto ni  Meneja mpya wa kinywaji cha Redd's Original Vimal Vaghmaria.  Mkurugenzi wa kampuni ya LINO...

 

11 years ago

Michuzi

uzinduzi wa kampeni kuchangia damu wafanyika leo jijini dar

Afisa Viwango na Ubora wa Damu Salama Kanda ya Mashariki, Ndeonasia Towo akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuchangia damu salama inayoratibiwa na Diwani wa Chama cha Mapinduzi wa Kata ya Kipawa, Bonna Kaluwa (katikati) iliyozinduliwa katika Ukumbi wa Arnaotoglu na kilele chake kitakuwa Juni 22, mwaka huu kwenye viwanja vya Sitakishari Kata ya Kipawa, Dar es Salaam. Kampeni hiyo inalengo la kuchangisha damu ili kupunguza vifo vya wanawake wakati wa kujifungua kutokana...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. MECK SADICK AONGOZA ZOEZI LA KUOSHA MAGARI LA MEDIA CAR WASH FOR CANCER LEADERS CLUB LEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akizindua zoezi la kuosha Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuchangia Fedha kwa waandishi wa Habari ambao wanamatatizo ya Kiafya ikiwemo Saratani  Mkuu wa Wilaya ya Kinomdoni Paul Makonda Akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuongea na Waandishi wa Habari pamoja na wadau 
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akiongea na waandishi wa Habari pamoja na Wadau mbalimbali waliofika kuosha Magari yao kwa ajili ya...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. MECK SADICK AONGOZA ZOEZI LA KUOSHA MAGARI LA MEDIA CAR WASH FOR CANCER, LEADERS CLUB LEO‏

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akizindua zoezi la kuosha magari katika viwanja vya Leaders Club, Dar kwa ajili ya kuchangia fedha kwa waandishi wa habari ambao wanamatatizo ya kiafya ikiwemo saratani.  Mkuu wa Wilaya ya Kinomdoni, Paul Makonda akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuongea na waandishi wa habari pamoja na wadau.  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadick akiongea… ...

 

11 years ago

Michuzi

KUFUATIA MUAMKO HAFIFU WA UCHANGIAJI DAMU MKOANI RUKWA KUTOKANA NA DHANA POTOFU ZILIZOPO, MADAKTARI WAONYESHA MFANO KWA KUCHANGIA DAMU KATIKA HOSPITALI KUU YA MKOA HUO

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. John Gurisha akipimwa kabla ya kuchangia damu katika zoezi lilioendeshwa na Shrika la Red Cross katika kuchangia damu Mkoani Rukwa. Kumekuwepo na uhaba mkubwa wa damu katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa na vituo vingine uhaba ambao unafikia nusu kwa nusu ukilinganisha kiasi kinachopatikana na mahitaji yaliyopo. Uhaba huo umesababishwa na muamko hafifu wa wananchi kuchangia damu kutokana na hofu inayosababishwa na dhana potofu kuwa uchangiaji damu...

 

10 years ago

Michuzi

Jaji Mkuu aongoza sherehe za kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya jijini Dar leo

Jaji Mkuu wa Tanzania,Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa katika meza kuu pamoja na Waheshimiwa Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu ya Tanzania katika Sherehe za kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya, mapema leo katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.Jaji Mkuu wa TanzaniaMhe. Mohamed Chande Othman,  (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Majaji wa Mahakama ya Rufani (walioketi), Mhe. Shaaban Ali Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA SIKU YA SHERIA NCHINI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za Siku ya Sherianchini katika viwanja wa Mahakama barabara ya Chimala jijini Dar essalaam leo February 4, 2015

PICHA NA IKULU

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM, Ikulu jijini dar leo

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM ikulu jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani