Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAWAMBWA CUP YAFIKA TAMATI

Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Konyagi Joseph Chibehe (kulia) akimkabidhi nahodha wa timu ya Mwambao, Selemani Lugono baada ya timu yake kuibuka washindi wa pili katika Ligi ya Kawambwa Cup iliyomalizika mjini Bagamoyo mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mbunge wa Jimbo hilo, Dk. Shukuru Kawambwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa BMT, Iddi Kipingu. (PICHA NA SUPER D) ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya Makalla Cup yafika tamati wilayani Mvomero

Fainali za michezo mpira wa miguu kutafuta bingwa wa wilaya ya Mvomero zinazokwenda kwa jina la Makalla Cup zimehitimishwa jana kwa mamia ya watazamaji kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa Kialawa, Kijiji cha Bwagala ambapo ulizikutanisha katika Fainali Timu ya Koloni ya Bwagala na timu ya Mkuyuni ya Mlali na hatimaye ubingwa wa Makalla Cup ulikwenda kwa Timu ya Koloni kwa kuifunga Mkuyuni mabao 2-1.
Mgeni rasmi na mdhamini wa Mashindano hayo ya Makalla Cup alikuwa Mbunge wa Mvomero na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAONYESHO YA TANZANIA BUILDEX INTERNATIONAL TRADE EXHIBITION YAFIKA TAMATI

Na Andrew Chale
Maonyesho ya Tanzania Buildex Internatinal Trade Exhibition January 29 -31, yanayoendelea ndani ya ukumbi wa mikutano wa Mlimani City Conference, yanatarajia kufikia tamati jioni ya Jumamosi Januari 31, 2015.

Maonyesho hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya kigeni kutoka falme za kiarabu ya S.K.M Air Conditioning LLC na wadau wengine yameshirikisha makampuni zaidi ya 50, ya ndani na nje ya Tanzania ambapo wameonyesha bidhaa zao hizo pamoja na kuuza.

Baadhi ya makampuni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Genius Cup ya shule za Feza yafikia tamati Dar

MASHINDANO ya Genius Cup 2014 yamefikia tamati mkoani Dar es Salaam kwa kupata washindi watatu bora, baada ya kufanya mitihani ya Sayansi na Hisabati, ikilenga kutoa fursa kwa wanafunzi kupenda...

 

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA MTEMVU CUP YAFIKIA TAMATI, KATA YA 14 YAIBUKA KIDEDEA

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwa na Waziri wa Habari  Vijana Utamaduni na Michezo, Dk.Fenellah Mukangala (kulia) aliyekuwa mgeni rasmi katika fainali za mashindano ya Mtemvu CUP yaliyofikia tamati viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam jana. Timu zilizoingia ingia fainali hiyo ni Miburani Kata ya 15 na Kata ya 14 ambayo iliibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0.Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwa na Waziri wa Habari  Vijana Utamaduni na Michezo, Dk.Fenellah Mukangala...

 

10 years ago

BBCSwahili

AFCON ya wanawake yafika ukingoni

Michuano ya fainali za 9 za kombe la mataifa ya Afrika kwa wanawake imeingia hatua ya nusu fainali huko Namibia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rwanda yafika fainali Cecafa

Rwanda wamefika fainali ya kombe la Cecafa 2015 baada ya kulaza Sudan kupitia mikwaju ya penalti.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashirika hatimaye yafika Gaza

Makundi ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu na shirika la chakula la umoja wa mataifa WFP yamefika gaza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Idadi ya waliofariki Nepal yafika 3300

Mamlaka ya Nepal inasema kuwa zaidi ya watu 3300 sasa wanasemekana kufariki katika tetemeko kubwa la ardhi siku ya jumamosi

 

10 years ago

StarTV

Idadi ya waliouawa Pakistan yafika 130.

Vikosi vya usalama nchini Pakistan vinakabiliwa na hali ngumu kuweza kudhibiti shule iliyovamiwa na wapiganaji wa Taliban katika jimbo la Peshawar Kaskazini Magharibi mwa Pakistan

Takriban watu miamoja na thelathini wamefariki , wengi wao wakiwa watoto.

Msemaji wa jeshi anasema washukiwa sita wameuawa huku operesheni hio ikiendelea.

Shule hio inasimamiwa na jeshi na wanafunzi wengi ni watoto wa wanajeshi.

Wakuu wa Hospitali wanasema kuwa zaidi ya watu 40 wanasemekana kujeruhiwa japo idadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani