Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashirika hatimaye yafika Gaza

Makundi ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu na shirika la chakula la umoja wa mataifa WFP yamefika gaza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Hatimaye Gesi Asilia kutoka Mtwara yafika Dar es salaam

 Mtaalam kutoka Kampuni ya “CPP” (Mkandarasi wa Mradi wa Gesi Asilia) (Kulia) akitoa maelezo ya usalama kabla ya wakuu wa taasisi za TPDC na TANESCO kuingia katika kituo cha kupokea gesi asilia Kinyerezi, jijini Dar es Salaam, kituo hicho tayari kimeanza kupokea gesi asilia kutoka kiwanda cha kuchakata gesi  Madimba Mkoani Mtwara.

 Mtaalam kutoka Kampuni ya Mhandisi Mshauri Muelekezi (WorleyParsons), Allen Slowe (kulia) akitoa maelezo ya jinsi ya zoezi zima la kupokea gesi asilia...

 

10 years ago

BBCSwahili

AFCON ya wanawake yafika ukingoni

Michuano ya fainali za 9 za kombe la mataifa ya Afrika kwa wanawake imeingia hatua ya nusu fainali huko Namibia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rwanda yafika fainali Cecafa

Rwanda wamefika fainali ya kombe la Cecafa 2015 baada ya kulaza Sudan kupitia mikwaju ya penalti.

 

11 years ago

GPL

KAWAMBWA CUP YAFIKA TAMATI

Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Konyagi Joseph Chibehe (kulia) akimkabidhi nahodha wa timu ya Mwambao, Selemani Lugono baada ya timu yake kuibuka washindi wa pili katika Ligi ya Kawambwa Cup iliyomalizika mjini Bagamoyo mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mbunge wa Jimbo hilo, Dk. Shukuru Kawambwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa BMT, Iddi Kipingu. (PICHA NA SUPER D) ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Idadi ya waliofariki Nepal yafika 3300

Mamlaka ya Nepal inasema kuwa zaidi ya watu 3300 sasa wanasemekana kufariki katika tetemeko kubwa la ardhi siku ya jumamosi

 

10 years ago

StarTV

Idadi ya waliouawa Pakistan yafika 130.

Vikosi vya usalama nchini Pakistan vinakabiliwa na hali ngumu kuweza kudhibiti shule iliyovamiwa na wapiganaji wa Taliban katika jimbo la Peshawar Kaskazini Magharibi mwa Pakistan

Takriban watu miamoja na thelathini wamefariki , wengi wao wakiwa watoto.

Msemaji wa jeshi anasema washukiwa sita wameuawa huku operesheni hio ikiendelea.

Shule hio inasimamiwa na jeshi na wanafunzi wengi ni watoto wa wanajeshi.

Wakuu wa Hospitali wanasema kuwa zaidi ya watu 40 wanasemekana kujeruhiwa japo idadi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mancity yafika kileleni mwa ligi ya EPL

Mchezaji Frank Lampard alifunga bao la ushindi kupitia kichwa chake dhidi ya Sunderland na kuiweka Manchester City sawa na Chelsea

 

5 years ago

Michuzi

NMB MastaBoda yafika kileleni: Watano washinda pikipiki

Benki ya NMB imehitimisha kampeni yake ya Mastaboda, kwa kuwazawadia waendesha bodaboda watano kila mmoja pikipiki aina ya Boxer. 
Madereva hao ni: Abdalla Said, Mohamed Salehe, Twaliha Mfinanga, Ramadhani Iddy na Adamu Gunza ambao wameibuka kidedea baada ya kufanya miamala ya juu zaidi kupitia Mastercard QR tangu kuzinduliwa kwa kampeni hiyo. 
NMB, kwa kushirikiana na Mastercard ilizindua huduma ya Mastercard QR mwanzoni mwa mwaka jana ikiwa na lengo la kumwezesha abiria wa bodaboda kulipa...

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya Makalla Cup yafika tamati wilayani Mvomero

Fainali za michezo mpira wa miguu kutafuta bingwa wa wilaya ya Mvomero zinazokwenda kwa jina la Makalla Cup zimehitimishwa jana kwa mamia ya watazamaji kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa Kialawa, Kijiji cha Bwagala ambapo ulizikutanisha katika Fainali Timu ya Koloni ya Bwagala na timu ya Mkuyuni ya Mlali na hatimaye ubingwa wa Makalla Cup ulikwenda kwa Timu ya Koloni kwa kuifunga Mkuyuni mabao 2-1.
Mgeni rasmi na mdhamini wa Mashindano hayo ya Makalla Cup alikuwa Mbunge wa Mvomero na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani