Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Idadi ya waliofariki Nepal yafika 3300

Mamlaka ya Nepal inasema kuwa zaidi ya watu 3300 sasa wanasemekana kufariki katika tetemeko kubwa la ardhi siku ya jumamosi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nepal:Idadi ya waliofariki yafikia 96

Waziri wa maswala ya ndani nchini Nepal anasema kuwa idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi Nchini humo, imepanda na kufikia 96.

 

10 years ago

Michuzi

IDADI YA WATU WALIOFARIKI DUNIA KWENYE TETEMEKO LA ARDHI NEPAL YAZIDI KUONGEZEKA

 Wanajeshi wa nchini Nepal wakiendelea kutafuta miili ya watu waliopoteza maisha katika tetemeko la ardhi  mjini Kathmand nchini Nepal. Baadhi ya miili ya watu waliopoteza maisha katika 
katika tetemeko la ardhi  mjini Kathmand nchini Nepal.Kwa msaada wa mtandaoMAMLAKA ya nchini Nepal imesema kuwa zaidi ya watu 3300 wamesemekana kufairki dunia kutokana na Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea jumamosi katika mji wa Kathmandu nchini  humo.Waokoaji wanchi hiyo wamesema wanaendelea kuchunguza...

 

10 years ago

StarTV

Idadi ya waliouawa Pakistan yafika 130.

Vikosi vya usalama nchini Pakistan vinakabiliwa na hali ngumu kuweza kudhibiti shule iliyovamiwa na wapiganaji wa Taliban katika jimbo la Peshawar Kaskazini Magharibi mwa Pakistan

Takriban watu miamoja na thelathini wamefariki , wengi wao wakiwa watoto.

Msemaji wa jeshi anasema washukiwa sita wameuawa huku operesheni hio ikiendelea.

Shule hio inasimamiwa na jeshi na wanafunzi wengi ni watoto wa wanajeshi.

Wakuu wa Hospitali wanasema kuwa zaidi ya watu 40 wanasemekana kujeruhiwa japo idadi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mataifa yashuku idadi ya waliofariki Mecca

Maafisa katika mataifa kadha wamesema zaidi ya watu 1,000 walifariki kwenye mkanyagano Mecca wakati wa kuhiji wiki iliyopita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Idadi ya waliofariki Ghana yafikia 175

Takriban watu 175 wamefariki kufiakia sasa kufuatia moto uliotokea katika kituo kimoja cha mafuta katika mji mkuu wa Ghana Accra.

 

10 years ago

GPL

IDADI YA WALIOFARIKI KATIKA SHAMBULIO TUNISIA YAFIKIA 23

Miili ya baadhi ya watu waliopoteza maisha kwenye shambulio hilo ikifunikwa. IDADI ya watu waliopoteza maisha katika shambulio la kigaidi lililotokea jana nchini Tunisia imeongezeka na kufikia 23.…

 

10 years ago

GPL

VIFO INDIA: IDADI YA WALIOFARIKI KWA POMBE YENYE SUMU WAFIKIA 90

Waombolezaji wakiwa na picha ya mmoja wa watu waliofariki kwa kunywa pombe yenye sumu huko India. Mwili wa mmoja wa watu waliofariki katika tukio hilo. Vilio na…

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa wa corona Kenya yafika 281

Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 281 baada ya visa vingine 11 kuthibitishwa Jumatatu.

 

5 years ago

Michuzi

Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na COVID-19 nchini Italia yazidi ile ya China

Serikali ya Italia ilitangaza jana usiku kwamba idadi ya watu walioaga dunia kutokana na ugonjwa wa COVID-19 (corona) nchini humo imefikia 3,405.

Taarifa iliyotolewa na serikali ya Italia imesema kuwa kesi nyingine mpya za maambukizi ya watu 5322 pia zilisajiliwa katika masaa 24 yaliyopita nchini humo na kuongeza kuwa, hadi kufikia jana jioni watu 41,035 walikuwa wameambukizwa virusi vya corona.

Takwimu hizo za kufariki dunia watu 3,405 nchini Italia kutokana na virusi vya corona zinaonyesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani