MASHINDANO YA SKAUTI NGAZI YA TAIFA YAFUNGWA RASMI MKOANI MOROGORO SEPTEMBA 26,2014
 Kamishina Mkuu Msaidizi Programu ya Vijana wa Chama cha Skauti Tanzania (TSA), Mary Anyitike (kushoto), akimvisha  Nishani ya Skauta, Safi Shabani kiongozi wa Skauti kutoka  Shule ya Sekondari Lugoba iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani wakati wa hafla ya kufunga mashindano hayo jana.  Kamishina Mkuu Msaidizi wa Utawara Bora wa wa Chama cha Skauti Tanzania (TSA), Mwalimu mstaafu John Lusunike (kushoto), akikagua...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMASHINDANO YA SKAUTI NGAZI YA TAIFA YAFUNGWA RASMI MKOANI MOROGORO
11 years ago
Michuzi
MASHINDANO YA SAFARI POOL NGAZI YA MKOA YAFUNGULIWA LEO MKOANI IRINGA


11 years ago
Michuzi03 Sep
11 years ago
Michuzi
Mashindano ya kumtafuta dereva bora wa mwaka wa kuendesha Scania kufanyika Septemba 13,2014


10 years ago
VijimamboKAIMU MKUU WA MKOA WA MOROGORO AFUNGUA RASMI BARAZA YA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NCHINI MKOANI MOROGORO
10 years ago
MichuziNSSF YADHAMINI MASHINDANO YA SHIMISEMITA MKOANI MOROGORO
Katika mashindano hayo NSSF imepata fursa ya kutoa elimu kuhusu Mafao mbalimabli yatolewayo na Shirika hilo ikiwemo Mango mpya kwa ajili ya Wakulima na Wachimbaji wadogo wa Madini.
Katika mpango huo, Wakulima sasa wanaweza kujiunga na NSSF na kufaidika na Mafao mbalimbali yanayotolewa na...
11 years ago
GPLTASWIRA MBALIMBALI ZA MASHINDANO YA SHIMIWI YANAYOENDELEA MJINI MOROGORO
11 years ago
Dewji Blog25 May
Mashindano ya DATS yazinduliwa mkoani Morogoro, mikoa tisa kushiriki
Mwenyekiti wa chama cha Dats Tanzania Gesase Waigama akiongea wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mchezo huo unaoshirikisha mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro, Kagera, Arusha na wenyeji wao Morogogoro ambapo katika mashindano hayo yaliodhaminiwa na bia aina ya Safari mshindi wa kwanza atatoka na kitita cha shilingi 600,000 hapo kesho.
Mwenyekiti huyo wa Dats akizindua mchezo huo ili kuruhusu pambano kuanza rasmi.

Baadhi ya washiriki wa mchezo huo wakifanya...
11 years ago
GPLTAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28, 2014 WILAYANI BAGAMOYO