Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashindano ya kumtafuta dereva bora wa mwaka wa kuendesha Scania kufanyika Septemba 13,2014

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Scania Tanzania, Anders Friberg(wa pili kulia),Meneja mauzo wa Scania Tanzani, Steve Miller(wa pili kushoto) na Afisa Mauzo wa Scania Tanzania, Kisali Nnyari wakiwa wamebeba vikombe vitakavyotolewa kama zawadi wakati wa fainali za kumtafuta dereva bora wa mwaka wa kuendesha Scania katika shindano litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu viwanja vya Tanganyika Perkasi jijin Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Masoko wa Scania Tanzania, Margaret Legga. Afisa Mauzo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mashindano ya kumtafuta mwanaume aliyejengeka kimisuli kufanyika Dar

 Baadhi ya washiriki wa Mashindano ya kutunisha misuli kushoto ni Robert Samson, Noah Sichembe na Muhammed Nauman ambao ni watunisha misuli watakaoshiriki katika shindano la kumtafuta mwanaume aliyejengeka kimisuli zaidi yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi huu. Mashindano hayo yameandaliwa na kituo cha mazoezi cha Tanzaned Fitness Studio,iliyoko  Gymkhana, Dar es Salaam.
  Baadhi ya washiriki wa Mashindano ya kutunisha misuli kushoto ni Robert Samson, Noah Sichembe na Muhammed Nauman...

 

11 years ago

Michuzi

TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2014 KUFANYIKA KESHO MJINI DODOMA

WAZIRI Mkuu Mhe.  Mizengo Pinda kesho atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013-14, itakayowakutanisha wanawake wanne itakayofanyika kesho katika Ukumbi wa The African Dream mjini Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ndiye  atakuwa mgeni rasmi katika utoaji tuzo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, ambayo ndiyo iliyoratibu zoezi hilo, Eric Shigongo, amesema leo  kwamba shughuli hiyo itakuwa ni hitimisho la kazi kubwa ya kupokea na kuchuja kura...

 

11 years ago

Michuzi

FAINALI YA KUMTAFUTA ‘MWANAMKE WA MWAKA’ KUFANYIKA DODOMA JUMAMOSI

Meneja Mkuu wa kampuni ya Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho, akielezea mchakato wa kumpata 'Mwanamke wa Mwaka' utakavyokuwa. Kushoto ni Mratibu wa Matukio wa Global Publishers, Luqman Maloto.
Wanahabari wakiwa kazini. Luqman Maloto akisistiza jambo kwenye mkutano huo.
KAMPUNI ya Global Publishers Ltd ambao ni waandaaji wa shindano la kumtafuta mwanamke bora wa mwaka ambaye mchango wake wa maendeleo kwa jamii umewazidi wenzake, imethibitisha fainali hizo kufanyika keshokutwa...

 

11 years ago

GPL

FAINALI YA KUMTAFUTA ‘MWANAMKE WA MWAKA’ KUFANYIKA DODOMA JUMAMOSI

Mrisho na Maloto wakielezea mchakato wa kumpata mshindi utakavyokuwa. Abdallah Mrisho akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu tukio hilo.…

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA PESA EXPO KUFANYIKA SEPTEMBA MWAKA HUU.

Mkurugenzi wa kampuni Exclusive media, Gody Gervas akizungumza na waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Kebbys jijiji Dar es Salaam, Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Qutub Global Ltd,Jeremia Fumbe na kulia ni  Mkurugenzi wa Kampuni ya Exclusive media (T)Ltd ESunday Mashele.


Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

KAMPUNI Exclusive media (T)Ltd ikishirikiana na Qutub Global Ltd kukutanisha Tasisi na Asasi za Kifedha hapa nchini  katika maonyesho ya Pesa Expo katika Maonyesho yatafanyika mwanzoni...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28-2014 WILAYANI BAGAMOYO

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba), Michael Kadinde (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu Tamasha la 33 la taasisi hiyo litakalofanyika kuanzia Septemba 22 hadi 28 mwaka huu. Kulia ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Abraham Fadhil na Mkuu wa Mafunzo, Gabriel Kiiza.Dotto Mwaibale
TAASISI ya sanaa na utamaduni Bagamoyo (TaSUba) imeanadaa tamasha la 33  lenye lengo la kukuza mila na desturi za watanzania.
Katika ...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA SEPTEMBA 22-28, 2014 WILAYANI BAGAMOYO‏

 Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (Tasuba), Michael Kadinde.  Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Abraham Fadhil.…

 

10 years ago

GPL

MASHINDANO YA SKAUTI NGAZI YA TAIFA YAFUNGWA RASMI MKOANI MOROGORO SEPTEMBA 26,2014‏

 Kamishina Mkuu Msaidizi Programu ya Vijana wa Chama cha Skauti Tanzania (TSA), Mary Anyitike (kushoto), akimvisha  Nishani ya Skauta, Safi Shabani kiongozi wa Skauti kutoka  Shule ya Sekondari Lugoba iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani wakati wa hafla ya kufunga mashindano hayo jana.  Kamishina Mkuu Msaidizi wa Utawara Bora wa wa Chama cha Skauti Tanzania (TSA), Mwalimu mstaafu John Lusunike (kushoto), akikagua...

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha la Miaka 16 ya Home Gym kufanyika Septemba 6, 2014 uwanja wa mwenge, Dar es salaam

KLABU 12 za timu za soka za maveterani zinazooundwa na nyota wa zamani wa kandanda nchini zinatarajiwa kuchuana katika michezo maalum ya Tamasha la Miaka 16 ya Home Gym, itakayofanyika Septemba 6 kwenye uwanja wa Mwenge, Dar es Salaam.Aidha zaidi ya klabu 30 za Jogging nazo zinatarajiwa kupamba tamasha hilo ambalo litahusisha pia michezo mbalimbali ikiwamo ya netiboli, kuvuta kamba, kukimbia kwenye magunia na kukimbiza kuku.Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Andrew Mangomango, klabu za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani