Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAINALI YA KUMTAFUTA ‘MWANAMKE WA MWAKA’ KUFANYIKA DODOMA JUMAMOSI

Meneja Mkuu wa kampuni ya Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho, akielezea mchakato wa kumpata 'Mwanamke wa Mwaka' utakavyokuwa. Kushoto ni Mratibu wa Matukio wa Global Publishers, Luqman Maloto.
Wanahabari wakiwa kazini. Luqman Maloto akisistiza jambo kwenye mkutano huo.
KAMPUNI ya Global Publishers Ltd ambao ni waandaaji wa shindano la kumtafuta mwanamke bora wa mwaka ambaye mchango wake wa maendeleo kwa jamii umewazidi wenzake, imethibitisha fainali hizo kufanyika keshokutwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

FAINALI YA KUMTAFUTA ‘MWANAMKE WA MWAKA’ KUFANYIKA DODOMA JUMAMOSI

Mrisho na Maloto wakielezea mchakato wa kumpata mshindi utakavyokuwa. Abdallah Mrisho akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu tukio hilo.…

 

11 years ago

Michuzi

TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2014 KUFANYIKA KESHO MJINI DODOMA

WAZIRI Mkuu Mhe.  Mizengo Pinda kesho atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013-14, itakayowakutanisha wanawake wanne itakayofanyika kesho katika Ukumbi wa The African Dream mjini Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ndiye  atakuwa mgeni rasmi katika utoaji tuzo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, ambayo ndiyo iliyoratibu zoezi hilo, Eric Shigongo, amesema leo  kwamba shughuli hiyo itakuwa ni hitimisho la kazi kubwa ya kupokea na kuchuja kura...

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya kumtafuta dereva bora wa mwaka wa kuendesha Scania kufanyika Septemba 13,2014

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Scania Tanzania, Anders Friberg(wa pili kulia),Meneja mauzo wa Scania Tanzani, Steve Miller(wa pili kushoto) na Afisa Mauzo wa Scania Tanzania, Kisali Nnyari wakiwa wamebeba vikombe vitakavyotolewa kama zawadi wakati wa fainali za kumtafuta dereva bora wa mwaka wa kuendesha Scania katika shindano litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu viwanja vya Tanganyika Perkasi jijin Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Masoko wa Scania Tanzania, Margaret Legga. Afisa Mauzo...

 

10 years ago

GPL

ROBO FAINALI DANSI 100% KUFANYIKA JUMAMOSI

Vijana wanaounda Kundi la Mob Squad  Kutoka Wilaya ya Temeke wakionyesha umahiri wao katika shindano la Dance miamia hivi karibuni,liloandaliwa na East Africa TV na kudhaminiwa na  Vodacom Tanzania.
Baadhi ya mashabiki waliofurika katika mashindano hayo hivi karibuni. Kinyang’anyiro cha mashindano yanayokuwa kwa kasi hapa nchini ya Dance 100% yanayoandaliwa  na kituo cha televisheni cha East ...

 

9 years ago

Bongo5

Fainali za ‘The Jump Off Michano’ kufanyika Jumamosi hii

Fainali ya shindano la The Jump Off Michano lililoandaliwa na kituo cha redio cha Times FM zitafanyika Jumamosi hii kwenye viwanja vya Dar Live jijini Dar es Salaam. Shindano hilo limedumu kwa kipindi cha miezi mitatu. “Shindano la The Jump Off Michano lilikusanya vijana zaidi ya 32O ambao wanafanya muziki wa rap pekee,” mtangazaji wa […]

 

10 years ago

Michuzi

Nusu fainali Dansi 100% kufanyika Don Bosco Jumamosi

Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga(kulia)akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani)Simu aina ya Samsung E1205 yenye tochi na redio yenye thamani ya shilingi 25,000 tu.Zitakazopatikana katika Nusu fainali ya Dance 100 itakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,pamoja nae kushoto ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,Kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5. Meneja...

 

10 years ago

GPL

NUSU FAINALI DANSI 100% KUFANYIKA DON BOSCO JUMAMOSI‏

Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga(kulia)akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani)Simu aina ya Samsung E1205 yenye tochi na redio yenye thamani ya shilingi 25,000 tu.Zitakazopatikana katika Nusu fainali ya Dance 100 itakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,pamoja nae kushoto ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu.
Meneja Uhusiano wa Umma wa...

 

9 years ago

Michuzi

FAINALI ZA SHINDANO LA TMT KUFANYIKA AGOSTI 22 MWAKA HUU

 Wawezeshaji na Wadhamini wa shindano la Tanzania Movie Talent (TMT),Jaji Mkuu,Loy Sarungi(wa kwanza kutoka kushoto),Jaji katika shindano hilo Single Mtambalike(wa kwanza kutoka kushoto),Meneja Mawasiliano na Masoko wa Proin Promotion,Josephat Lukaza,Meneja Bidhaa wa Paisha,Godfrey Fataki na Meneja Masoko wa ITV,Ernest Dilli wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talent (TMT) litakalofanyika Agosti 22 katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani