FAINALI YA KUMTAFUTA ‘MWANAMKE WA MWAKA’ KUFANYIKA DODOMA JUMAMOSI
Mrisho na Maloto wakielezea mchakato wa kumpata mshindi utakavyokuwa. Abdallah Mrisho akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu tukio hilo.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi27 Mar
FAINALI YA KUMTAFUTA ‘MWANAMKE WA MWAKA’ KUFANYIKA DODOMA JUMAMOSI
KAMPUNI ya Global Publishers Ltd ambao ni waandaaji wa shindano la kumtafuta mwanamke bora wa mwaka ambaye mchango wake wa maendeleo kwa jamii umewazidi wenzake, imethibitisha fainali hizo kufanyika keshokutwa...
11 years ago
GPL28 Mar
11 years ago
Michuzi28 Mar
TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2014 KUFANYIKA KESHO MJINI DODOMA


Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, ambayo ndiyo iliyoratibu zoezi hilo, Eric Shigongo, amesema leo kwamba shughuli hiyo itakuwa ni hitimisho la kazi kubwa ya kupokea na kuchuja kura...
11 years ago
Michuzi
Mashindano ya kumtafuta dereva bora wa mwaka wa kuendesha Scania kufanyika Septemba 13,2014


11 years ago
GPL
ROBO FAINALI DANSI 100% KUFANYIKA JUMAMOSI
Vijana wanaounda Kundi la Mob Squad Kutoka Wilaya ya Temeke wakionyesha umahiri wao katika shindano la Dance miamia hivi karibuni,liloandaliwa na East Africa TV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya mashabiki waliofurika katika mashindano hayo hivi karibuni. Kinyang’anyiro cha mashindano yanayokuwa kwa kasi hapa nchini ya Dance 100% yanayoandaliwa na kituo cha televisheni cha East ...
10 years ago
Bongo528 Aug
Fainali za ‘The Jump Off Michano’ kufanyika Jumamosi hii
Fainali ya shindano la The Jump Off Michano lililoandaliwa na kituo cha redio cha Times FM zitafanyika Jumamosi hii kwenye viwanja vya Dar Live jijini Dar es Salaam. Shindano hilo limedumu kwa kipindi cha miezi mitatu. “Shindano la The Jump Off Michano lilikusanya vijana zaidi ya 32O ambao wanafanya muziki wa rap pekee,” mtangazaji wa […]
11 years ago
Michuzi
Nusu fainali Dansi 100% kufanyika Don Bosco Jumamosi


11 years ago
GPL
NUSU FAINALI DANSI 100% KUFANYIKA DON BOSCO JUMAMOSI
Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga(kulia)akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani)Simu aina ya Samsung E1205 yenye tochi na redio yenye thamani ya shilingi 25,000 tu.Zitakazopatikana katika Nusu fainali ya Dance 100 itakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,pamoja nae kushoto ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu.
Meneja Uhusiano wa Umma wa...
10 years ago
MichuziFAINALI ZA SHINDANO LA TMT KUFANYIKA AGOSTI 22 MWAKA HUU
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania