Mashindano ya kumtafuta mwanaume aliyejengeka kimisuli kufanyika Dar
Baadhi ya washiriki wa Mashindano ya kutunisha misuli kushoto ni Robert Samson, Noah Sichembe na Muhammed Nauman ambao ni watunisha misuli watakaoshiriki katika shindano la kumtafuta mwanaume aliyejengeka kimisuli zaidi yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi huu. Mashindano hayo yameandaliwa na kituo cha mazoezi cha Tanzaned Fitness Studio,iliyoko Gymkhana, Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa Mashindano ya kutunisha misuli kushoto ni Robert Samson, Noah Sichembe na Muhammed Nauman...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-P75CRARYVIg/VBBO3OX9NCI/AAAAAAAGijk/gqyOq5TpwBE/s72-c/N2.jpg)
Mashindano ya kumtafuta dereva bora wa mwaka wa kuendesha Scania kufanyika Septemba 13,2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-P75CRARYVIg/VBBO3OX9NCI/AAAAAAAGijk/gqyOq5TpwBE/s1600/N2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-f23pMHFLSeU/VBBO2E_5tfI/AAAAAAAGijc/bhjphULIoVw/s1600/N1.jpg)
9 years ago
VijimamboMASHINDANO YA KUTUNISHA MISULI KUFANYIKA AGOSTI 29, 2015 JIJINI DAR
10 years ago
MichuziMASHINDANO YA BAISKELI KUFANYIKA JIJINI DAR JUNI 14 MWAKA HUU.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ElSwMzscT84/XkakvaHnobI/AAAAAAALdYE/sPUaTlBm64omHwUYBLDFRERL20r1hDxcQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-14%2Bat%2B4.37.04%2BPM.jpeg)
MASHINDANO YA KAIZEN KUFANYIKA JIJINI DAR, WAZIRI WA VIWANDA MGENI RASMI
![](https://1.bp.blogspot.com/-ElSwMzscT84/XkakvaHnobI/AAAAAAALdYE/sPUaTlBm64omHwUYBLDFRERL20r1hDxcQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-14%2Bat%2B4.37.04%2BPM.jpeg)
MASHINDANO ya nne ya KAIZEN kufanyika jijini Dar es Salaam huku mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Wizara ya Viwanda na biashara, Innocent Bashungwa.
Mashindano ya KAIZEN kwa hapa nchini yamekuwa yakifanyika kila mwaka ifikapo Februali, 18, kwa mwaka huu yanalengo la kubadilishana uzoefu na kuhamasisha...
11 years ago
Michuzi27 Mar
FAINALI YA KUMTAFUTA ‘MWANAMKE WA MWAKA’ KUFANYIKA DODOMA JUMAMOSI
KAMPUNI ya Global Publishers Ltd ambao ni waandaaji wa shindano la kumtafuta mwanamke bora wa mwaka ambaye mchango wake wa maendeleo kwa jamii umewazidi wenzake, imethibitisha fainali hizo kufanyika keshokutwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_arPARyx-Vk/XlOqPJdq7lI/AAAAAAALe_o/qfOGUYIKezMetCfhilaQh_Yj3qaKtd8gQCLcBGAsYHQ/s72-c/1d17d89c-8de1-4eff-bf20-1b01fd79a45e.jpg)
MASHINDANO YA GOFU YA TANAPA LUGALO OPEN KUFANYIKA MACHI 14 NA 15 JIJINI DAR ES SALAAM.
Mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo ametangaza mashindano ya Tanapa Lugalo Open yanatarajiwa kufanyika Machi 14 na 15 Mwaka huu katika Viwanja vya Lugalo Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwandishi wa hbari hizi Mwenyekiti huyo alisema masindano hayo yalikuwa yafanyike February 29 na Machi Mosi lakini kutokana na baadhi ya Maandalizi kutokamilika imelazimu sasa kusogeza mbele.
“ Tumesogeza mbele ili kutoa fursa ya...
11 years ago
GPLFAINALI YA KUMTAFUTA ‘MWANAMKE WA MWAKA’ KUFANYIKA DODOMA JUMAMOSI
11 years ago
Michuzi23 Apr
MASHINDANO YA 16 YA MPIRA WA KIKAPU (BASKETBALL) KWA MAJIJI YA AFRIKA KANDA YA TANO KUFANYIKA DAR ES SALAAM MEI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y9Yc5qVXVzQdFpe-4qm8uaZbncz4sgQO44Edzq4lGiwsHL5J9LbyXR6vRicoFu0XIstBpPp4i7NQ-ncqK8KhnnTCyZU4EBKD/1.jpg?width=650)
MASHINDANO YA DUNIA YA JUDO, KARATE KUFANYIKA TANZANIA