Mashirika mbalimbali yaombwa kudhamini pia matamasha ya muziki wa injili
Mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiimba pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama kulia na mwimbaji wa muziki wa injili Bonny Mwaiteje katikati na Mwimbaji Chengula kushoto wakati wa tamasha la uzinduzi wa Albam ya Shikilia Pindo la Yesu uliofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo akisindikizwa na waimbaji malimbali wa muziki huo akiwemo Ephraimu Sekereti kutoka nchini Zambia, Albam hiyo imezinduliwa na Meya wa jiji la Mwanza Mhe.Stanslaus...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Uzalendo haupimwi kwa matamasha ya muziki!
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Mipasho haifai muziki wa Injili
STAILI, vionjo na mfumo mzima wa muziki umekuwa ukibadilika kila siku kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo hali ya kwenda na wakati. Mabadiliko haya kwa upande mwingine yamekuwa sababu ya changamoto...
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Mjasiriliamali aliyegeukia muziki wa injili
10 years ago
GPLVEGA-CAPPELA, WAIMBAJI WA INJILI WASIOTUMIA ALA ZA MUZIKI
10 years ago
Mwananchi07 Dec
Japo muziki ni kipaji, elimu pia ipewe kipaumbele
10 years ago
Dewji Blog28 Nov
Tuinue muziki wa injili kukuza maadili katika jamii: UDA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Bw John Samangu (kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi albamu ya kwanza kutolewa na ya kwaya ya Kanisa la Kigango cha Mtakatifu Rita wa Kashia ijulikanayo kama ‘Msifuni Bwana’ jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni mwenyekiti wa Kigango cha Mt. Rita Bw. Frederick Msumali(kushoto) na waumini wengine. (Picha na mpiga picha wetu).
Na Mwandishi Wetu
JAMII imeombwa kusaidia kuinua muziki wa injili unaofanywa na...
10 years ago
Bongo519 Aug
Sporah kuhost tuzo za muziki wa injili Afrika, AGMA 2014