Mashoga kutoka Kenya, Uganda wakutana D’Salaam
Eneo la katikati ya Jiji la Dar es Salaam
Na Hadia Khamis
MASHOGA kutoka nchi tatu za Afrika Mashariki wamekutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam.
Taarifa zilizopatikana jijini Dar es Salaam, zinasema mashoga hao walikutana juzi katika Ukumbi wa Kivukoni 3 ulioko katika Hoteli ya Serena na kuwashirikisha wasichana wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, mashoga hao wapatao 50 walitoka katika nchi za Kenya na Uganda na waliungana na wenzao wa Tanzania.
Katika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi.jpg)
KUTOKA KWA WATANI WA JADI: WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO
Swala la usalama katika mitandao limepata kuangaliwa na changamoto mbali mbali katika mijadala Rasmi (Ndani ya Kikao) na isiyo rasmi (tuwapo nje ya ukumbi wa mkutano) zilipata kuangaliwa kwa ukaribu.
Swala uhimu nililo jifunza ni...
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
Mashoga wapinga sheria Uganda
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Gazeti lawataja 'mashoga' Uganda
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Unyanyasaji wa mashoga washtumiwa Uganda
11 years ago
Habarileo25 Feb
Mashoga Uganda kufungwa maisha
HATIMAYE Rais Yoweri Museveni amesaini Muswada wa Sheria inayoharamisha na kutoa adhabu kali kwa wanaojihusisha na vitendo vya ushoga nchini na wanaowaficha. Msemaji wa Serikali, amesema Rais alitaka kutetea “uhuru wa Uganda dhidi ya shinikizo la mataifa ya Magharibi.”
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Nzige waripotiwa kuingia Tanzania na Uganda kutoka Kenya
10 years ago
VijimamboVIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM KUJADILI MIKAKATI YA KUMALIZAMA AMBUKIZI MAPYA YA VVU/UKIMWI