Massaburi akiri kupongeza Chadema walioandamana
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Didas Massaburi amekiri kuwapongeza vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walioandamana kuunga mkono hotuba ya aliyekuwa Katibu Mkuu wao, Dk Willibrod Slaa na kujiunga na CCM, akisema anakubaliana na hoja zilizotolewa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania04 Sep
kada CCM akiri kuhusika na Chadema ‘feki’
NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Didas Masaburi, amekiri kukutana na vijana wanaodaiwa kujifanya wafuasi wa Chadema walioandamana jijini Dar es Salaam kupongeza hatua ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, kuacha siasa na kushambulia chama chake.
Juzi vijana hao waliandamana wakiwa na lengo la kwenda makao makuu ya Chadema kabla ya kutawanywa na wananchi.
Tangu asubuhi ya jana, sauti ya Masaburi ilikuwa ikisambazwa kwenye mitandao ya...
10 years ago
Michuzi10 Oct
LORRAINE ATUA NCHINI, ASHUKURU NA KUPONGEZA WATANZANIA
![Lorraine akiwasili muda](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/Lorraine-akiwasili-muda.jpg)
Na Andrew ChaleMWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya kimataifa ya Miss Grand International 2014, na kufanikiwa kushika nafasi ya 20 bora katika shindano lililofanyika mjini, Bangkok, Thailand, ametua nchini jana Oktoba 9...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_78uLyq3hRw/VOy9TkuxAXI/AAAAAAAHFqs/K7aauOv5YgY/s72-c/DSC_0402.jpg)
WALIOANDAMANA KUDAI AJIRA BAADA YA KUHITIMU JKT WAPANDISHWA KIZIMBANI
5 years ago
Bongo514 Feb
Bella Fasta awawashia moto wasanii wa filamu walioandamana (Video)
Msanii wa muziki na filamu, Bella Fasta amefunguka kwa kudai kuwa hajapendezwa na kitendo cha baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana kupinga filamu za nje, kwa madai hatua hiyo ilitakiwa kujadiliwa na wasanii wote wa filamu na siyo vikundi vya watu fulani ndani ya tasnia hiyo.
Wasanii hao ambao waliandamana wakiongozwa na Jacob Stephan ‘JB’, waliiomba ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kupiga marufuku wafanyabiashara wa filamu za nje kwa madai hawalipi kodi wakati wasanii wa...
10 years ago
GPLPOLISI WATUMIA MABOMU KUWATAWANYA MACHINGA WALIOANDAMANA JIJINI DAR LEO
9 years ago
Vijimambo04 Sep
DR SLAA AKIRI KUKUTANA NA MWAKYEMBE SIKU MOJA KABLA YA KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI, AMWAMBIA LISSU AONYESHE VOCHA YA YEYE KUCHUKUA MSHAHARA CHADEMA
![](http://jewajua.com/wp-content/uploads/2015/09/Dr-Wilbroad-Slaa-Akitangaza-Kuachana-na-Sisa-za-Vyama-741x486.jpg)
SIKU moja baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, kutangaza kuachana na siasa na kushusha tuhuma kwa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), imebainika kuwa kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari alikutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Dk. Harison Mwakyembe.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Dk. Slaa ambaye alimshambulia mgombea...
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Massaburi ampigia chapuo Pinda urais 2015
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Sababu za Massaburi kuamua kufuta kesi ya Ubunge Ubungo…(+Audio)
Baada ya uchaguzi mkuu kufanyika Oktoba 25, 2015 kisha matokeo kutangazwa, matukio mbalimbali yaliibuka ikiwa ni pamoja na baadhi ya wagombea walioshindwa kuamua kwenda mahakamani kupinga uhalali wa matokeo. Mmoja kati ya hao alikuwa Didas Massaburi aliyekuwa mgombea ubunge Ubungo kupitia CCM akipinga ushindi wa Said Kubenea wa Chadema. Na sasa kaamua kufuta kesi hiyo, nini sababu za kufanya hivyo? majibu […]
The post Sababu za Massaburi kuamua kufuta kesi ya Ubunge Ubungo…(+Audio) appeared...
10 years ago
GPLNIA YA UDIWANI KATA YA SEGEREA NUSURA UMTOE ROHO MTOTO WA MASSABURI