Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masumin wadhamini midahalo ya wanafunzi wa sekondari Dar

Sylivanus Ndayisenga wa shule ya sekondari ya Debrabant, akishiriki katika katika mdahalo wa kitaaluma ulioandaliwa na Masumon Printways na Five Star na kufanyika jijini Dar es Salaam jana. Mdahalo huo ambao ni kwa ajili ya shule za sekondari za Dar es Salaam uliihuisha pia St Antony.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Dar es Salaam, wanafunzi wake wanufaika na mradi wa kompyuta mashuleni

006.MTAKUJAWanafunzi wa kidato cha pili wa  shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza mwalimu wao wa masomo ya Sayansi Elibariki John,akiwafundisha somo hilo kwa vitendo kupitia kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.

002.MTAKUJAMwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam,...

 

9 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI AZANIA YA JIJINI DAR-ES-SALAAM WAJIFUNZA MBINU ZA KUZIMA MOTO

 Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam akizima moto kwa kutumia kizimia moto cha aina ya dry powder baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Ilala.

 Wanafunzi wa shule ya Secondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wakizimamoto kwa kutumia blanketi ya kuzimia moto baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Ilala jana tarehe 15 Oct, 15.

‘’Tayari...

 

9 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wajifunza mbinu za kuzima moto

 Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam akizima moto kwa kutumia kizimia moto cha aina ya dry powder baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Ilala.

 Wanafunzi wa shule ya Secondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wakizimamoto kwa kutumia blanketi ya kuzimia moto baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Ilala jana tarehe 15 Oct, 15.

‘’Tayari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Sekondari Mshikamano hatarini

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Mshikamano iliyopo Kijiji cha Rwanyo, wilayani Mbarali, Mbeya, wako hatarini kupoteza maisha kwa ajali kutokana na kukosekana kwa kivuko cha waenda kwa miguu katika eneo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi 290 wakacha sekondari

WANAFUNZI 292 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wilayani Kyela, Mbeya, hawajaripoti shule kuanza masomo kutokana na matatizo mbalimbali ikiwamo kupata ujauzito kwa wanafunzi wa kike. Kauli hiyo ilitolewa jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Simanzi Sekondari ya Sabodo, wanafunzi wazikwa

Simanzi na huzuni vimetawaka katika Shule ya Sekondari ya Mustapha Sabodo baada ya kutokea vifo vya wanafunzi watano vilivyosababishwa na ajali ya gari juzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi sekondari Agustivo Mbinga wafundwa

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Agustivo iliyopo wilayani Mbinga, Ruvuma, wametakiwa kuongeza juhudi katika masomo yao ili waweze kutimiza malengo waliyojiwekea. Ushauri huo ulitolewa na mfanyabiashara maarufu mkoani Ruvuma, Abbas...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na wanafunzi wa shule ya sekondari Kibosho

PG4A4849

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kibosho wakati alipokutana nao kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakiwa katika ziara ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga. Mheshimiwa Pinda alikuwa akienda Dar es salaam akitoka Arusha Septemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A4869

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani