Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maswa wakataa viongozi wao

WANANCHI WA wa Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu, wamemkataa Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Hilda Lauwo na Mwenyekiti wa Halmashauri, Stephen Dwese kwa madai ya kukwamisha maendeleo. Tukio hilo lilitokea...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Stars wakataa hoteli ya wenyeji wao Malawi

Siku zote maisha ya soka ni fitina barani Afrika. Maisha hayo yaliendelea juzi jioni jijini Blantyre baada ya maofisa wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiongozwa na mjumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ahmed Msafiri Mgoyi kugomea hoteli waliyoandaliwa na maofisa wa Malawi.

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi watakiwa kusikiliza malalamiko ya wananchi wao

VIONGOZI wa Serikali wametakiwa kusikiliza malalamiko ya wananchi wao na sio kuyapuuza kwani wanapofanya hivyo ndio chanzo cha uvunjifu wa amani nchini.

 

9 years ago

StarTV

 NCCR — Mageuzi wahofia viongozi wao kudhuriwa

Chama cha NCCR-Mageuzi kimedai kugundua mbinu chafu zinazopangwa na kikundi kinachotajwa kutaka kuwadhuru viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi, UKAWA, hususan Mwenyekitu wa chama hicho, James Mbatia.

Aidha, chama hicho kimesema hakitajiengua kwenye Umoja huo kama inavyoelezwa na baadhi ya wanachama wake kwa madai ya Umoja kushindwa kufikia baadhi ya makubaliano, hususan ya mgao wa majimbo.  Walipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, NCCR- Mageuzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi EAC wanaipenda jumuiya kuliko viongozi wao

Itachukua muda mrefu kuwaamini wanasiasa katika nchi zinazoendelea, kwani mambo mengi wanayofanya machoni mwa watu sio ambayo yapo mioyoni mwao.

 

10 years ago

Vijimambo

CCM NEW YORK YAFANYA UCHAGUZI NA KUPATA VIONGOZI WAO WA TAWI

Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi Bwana Isaac Kibodya akitoa maelezo ya jinsi ya upigaji kura. Tawi la CCM New York lilifuguliwa Miaka mitatu iliyopita lilikuwa alijawahi kufanya uchaguzi na kipindi hicho chote lilikuwa linaongozwa na viongozi wa muda. Sasa Tawi limepata viongozi wake Mwenyekiti ni Seif Akida na viongozi wengi ni katibu mwenezi wa siasa ni Steve Bubelwa, wajumbe ni bwana Magawa Ernest, Mauris Mwingira, Shaban Mseba na Ibrahim Selungwi. Kwa upande wa umoja wa vijana...

 

5 years ago

Michuzi

SACCOS 90 KANDA YA KATI ZAPATIWA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI WAO


Viongozi wa SACCOS Kanda ya Kati wakishiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyoandaliwa na Tume ya Maendeleo ya Ushirika hapa nchini.

Washiriki wa mafunzo hayo wakiwa katika picha ya pamoja.


Na Ismail Luhamba, Singida


ZAIDI ya SACCOS 90 za Mikoa ya Kanda ya Kati zimepatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa viongozi wa SACCOS yatakayosaidia kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa leseni za vyama vyao.

Mafunzo hayo yanayofanyika nchi nzima yametolewa na Tume ya Maendeleo ya Ushirika hapa nchini...

 

5 years ago

Michuzi

Wafuasi wa Chadema marufuku mahakamani wakati wa usikilizwaji wa Rufaa ya viongozi wao

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa amri kuwa  hakuna shabiki yetote atakayeruhusiwa kuingia mahakamani hapo kusikiliza rufaa iliyokatwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake saba kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Lameck Mlacha ametoa amri hiyo leo Aprili 28,2020 wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa.
Amri hiyo imetolewa ikiwa ni njia moja wapo ya kuepukana na mikusanyiko katika kipindi hiki ambacho nchi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa dini washahuriwa kuwapa muda waumini wao kuielewa Katiba Pendekezwa

DSC04751

Katibu wa jumuiya ya umoja wa vijana (UVCCM) CCM manispaa ya Singida, Khalid Hussein, akihamasisha wakazi wa kata ya Utemini manispaa ya Singida, kusoma na kuielewa Katiba iliyopendekezwa ili waweze kutoa maamuzi sahihi wakati wa kupiga kura Tanzania iweze kupata Katiba itakayokidhi mahitaji ya miaka 50 ijayo. DSC04728 Mwenyekiti UVCCM kata ya Utemini Abudulkarimu Hussein akifungua mkutano wa hadhara ambao katibu UVCCM manispaa ya Singida,aliutumia kuhamasisha vijana na wananchi kwa ujumla...

 

10 years ago

Michuzi

CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakutana Zanzibar Januari 13, kwa kikao cha kawaida cha siku moja chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete. 
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani