Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Ezekia Wenje
Katika miaka minne ya ubunge wako umeleta mendeleo gani kwa wananchi hasa Kata ya Mkolani?
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Said Mtanda
Uliahidi ujenzi wa miundombinu ya huduma za kijamii, maji na barabara utekezaji wa ahadi hiyo ukoje?
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Said Barwani
Wakati unaomba ubunge ulituahidi kuwa tukikuchagua utahakikisha unasimamia sera ya afya na kwamba wanawake wajawazito wanapewa huduma, lakini hivi sasa wanalazimika kununua vifaa vya kuwasaidia kujifungua.
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Tundu Lissu
Umewaagiza wananchi wasichangie miradi yao ya maendeleo kwa madai Serikali ina fedha za kutosha za kugharamia, mbona hadi sasa hujahimiza Serikali ilete hizo fedha pamoja na za ujenzi wa maabara?
10 years ago
Mwananchi04 Dec
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu: Suleiman Jafo
Kwanini Zahanati ya Kisanga haifunguliwi? Na wewe ulikuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunapata vifaa?
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Silvestry Koka
Uliahidi kutoa pikipiki moja kwa kila kata kwa vijana wa jimbo lako iwe mbegu ya kupata pikipiki nyingine, lakini mpaka sasa hujatekeleza, una mpango gani?
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Joseph Selasini
Uliahidi kuwa ungehakikisha soko la Holili linakamilika
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Joseph Mbilinyi
Lini Jiji la Mbeya litapata barabara za njia mbili kupunguza msongamano?
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Moses Machali
Wilaya ya Kasulu inakabiliwa na wimbi kubwa la uhalifu na kila wanapokamatwa hata kama kuna vithibitisho vya kutosha, wahalifu hao huachwa bila kuchukuliwa hatua za kisheria na hivyo kuzidi kwa vitendo vya uhalifu. Utafanya nini ili kukomesha tabia ya polisi kuwaachia watuhumiwa kienyeji?
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Mary Nagu
Robert Sulle, mchimbaji mdogo wa madini ya chumvi kwenye Kijiji cha Gendabi.
Uwezeshaji wa mgodi wa chumvi umefikia hatua gani?
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania