Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mataifa 3 uchumi wa kati kuzuru NHIF

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) leo unatarajia kupokea wageni kutoka nchi za Korea Kusini, Ghana na Ethiopia ambao wote kwa pamoja wanakuja kujifunza namna ya uendeshaji wa mifuko ya afya ya jamii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Uhusiano kati ya Korea Kusini na Kaskazini: Nini chanzo cha Uhasama uliopo kati ya mataifa haya

Miezi ya hivi karibuni , kumekuwa na uvumi kuhusu hali ya uchumi na afya kutokana na virusi vya corona, licha ya kwamba Korea Kaskazini ilithibitisha kuwa hakuna maambukizi ya corona.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Uchumi wa kati’ hautajengwa kwa porojo

Kuna dhana potofu hapa nchini kuhusu nishati ya gesi ambayo imegunduliwa kwa wingi katika maeneo mbalimbali nchini. Dhana hiyo ni kuwa, kugunduliwa kwa nishati hiyo ni neema kwa nchi yetu, kwani sasa kila mwananchi anapaswa kukaa ‘mkao wa kula’. Wananchi wameaswa kujiweka sawa tayari kwa kusema ‘kwa heri’ kwa umaskini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukanda wa Kati wapania kukuza uchumi

Nchi za Afrika Mashariki na Kati zimetakiwa kuondokana na vitendo vinavyochelewesha ustawi wa mataifa hayo kiuchumi

 

10 years ago

StarTV

Tanzania kuingia nchi zenye uchumi wa kati.

Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam,

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Mohammed Gharib Bilal amesema Tanzania inakusudia kuingia katika jumuiya ya nchi zenye uchumi wa kati huku ikiwa na vijana wenye uwezo wa kushindana kwenye soko la ajira barani Afrika.

 

Alisema ili kufikia hayo, mashirika binafsi yanatakiwa kuanza kutoa elimu kwa vijana ambao ndio taifa la sasa, kujiandaa katika kukabiliana na changamoto hiyo.

 

Katika uzinduzi wa mkakati wa utekelezaji wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ni mhimili mkuu wa uchumi Afrika Mashariki na Kati

Mkutano wa marais wa nchi zinazounda Ukanda wa Kati wa Kibiashara, Barani Afrika, wamekutana jijini Dar es Salaam na kuweka mikakati mbalimbali ya kukuza sekta ya miundombinu ya barabara na reli, kwa manufaa ya mataifa hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkakati wa Megawati 10,000 kuiingiza nchi uchumi wa kati

Alisema wakati wa kutumia ujuanjaujanja kupata nafasi za kuwekeza katika maeneo muhimu kwa sasa haipo na kinachohitajika ni uwazi wakati wa kuomba fursa hizo muhimu kwa sasa.

 

10 years ago

Habarileo

JK: Tanzania itakuwa nchi yenye uchumi wa kati 2025

Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa tatu wa Taifa wa Ukuzaji Uchumi wa Tanzania, Uchumi Mabadiliko ya Maendeleo ya Binadamu, ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa taasisi hiyo, Philemon Luhanjo na Mkurugenzi Mtendaji wa ESRF, Dk Hoseana Lugonelo. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali imejipanga katika kuhakikisha hadi ifikapo mwaka 2025 Tanzania itakuwa imebadilika kiuchumi kutoka nchi inayoendelea hadi kuwa nchi yenye uchumi wa kati.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: SGR, JNHPP MIRADI YAKUTUFIKISHA NCHI YA UCHUMI WA KATI

 UTEKELEZAJI wa miradi ya miundombinu mbalimbali ikiwemo nishati, reli, maji, barabara, na viwanja vya ndege ni miongoni mwa viashiria muhimu katika ukuaji wa uchumi wa Taifa lolote duniani.
Tanzania imedhamiria kukuza uchumi wake na kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 kwa kupitia sekta ya viwanda. Ili lengo hilo liweze kufanikiwa ni lazima iwe na miundombinu bora na imara.
Katika kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa, Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE KUONGOZA KONGAMANO LA KUELEKEA UCHUMI WA KATI IFIKAPO 2025

 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Kongamano  kongamano la kuchochea uzalishaji mali, Prof.Leonard  Mwaikambo akizungumza na waandishi wa habari juu ya lengo la kongamano ni kutoa fursa kwa watanzania kwa jumla kuelewa malengo na mwelekeo wa taifa letu kufikia uchumi wa kati .Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Kongamano  Profesa,Leonard  Mwaikambo.
Na Emmanuel  Massaka ,Globu ya JamiiRAIS Dk. Jakaya  Kikwete   anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani