Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matangazo ya TV kwa analojia mwisho Machi

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema ifikapo Machi mwakani hakuna mikoa ambayo wananchi wake watakuwa wakitumia antena za analojia kupata mawimbi ya matangazo ya televisheni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA RASMI MATANGAZO YA TELEVISHENI YA MFUMO WA ANALOJIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibofya kitufye cha Lap Top kuashiria kufunga rasmi Matangazo ya Televisheni ya Analojia, baada ya kufikia ukomo rasmi hii leo Juni 17, 2015 baada ya kufanikiwa kuzima mitambo ya Analojia kwa nchi nzima. Sherehe hizo za ukomo zimefanyika leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: RATIBA YA UZIMAJI WA MITAMBO YA UTANGAZAJI YA ANALOJIA AWAMU YA PILI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

TAARIFA KWA UMMA RATIBA YA UZIMAJI  WA MITAMBO YA UTANGAZAJI YA ANALOJIA AWAMU YA PILI
Ndugu wananchi, napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa Awamu ya Pili ya Uzimaji wa Mitambo ya Utangazaji ya Analojia itaanza rasmi mwezi Machi mwaka huu. Awamu hii ya Uzimaji inaanza baada ya Serikali kujiridhisha na matokeo ya tathmini ya uzimaji wa mitambo ya utangazaji ya analojia awamu ya kwanza kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

JANUARI MAKAMBA AFUNGA KONGOMANO LA MFUMO WA UHAMAJI KUTOKA ANALOJIA KWENDA DIJITALI KWA AFRIKA (DBSF) 2014

 Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba akitoa hotuba yake wakati wa kufunga kongamano la siku tatu la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka Analojia kwenda Dijitali kwa Afrika (DBSF) 2014 katika Hoteli ya Naura Spring jijini Arusha. Kongamano hilo la 9 liliandaliwa na Shirika la Utangazaji kwa Nchi za Jumuia ya Madola (CTO) kwa ushirikiano mkubwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Srikali ya Tanzania ambao ndio wenyeji.  Mgeni rasmi katika ufungaji wa...

 

11 years ago

GPL

NJEMBA ALA KIBANO KWA KUJIFANYA WAKALA WA MATANGAZO GLOBAL, TBC

Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima KIBANO! Tapeli aliyejitambulisha kwa jina la Faustine Mwita ametiwa nguvuni kwa shitaka la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, Risasi Mchanganyiko lina mkoba wenye ripoti nzima.
Hii ni kazi nyingine nzuri ya OFM kwa kushirikiana na polisi ambao walimkamata jamaa huyo anayejifanya  wakala wa matangazo wa Kampuni ya Global Publishers na Shirika la Utangazaji Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

huduma mpya ya TTCL ya kupata matangazo ya Televisheni kwa njia ya internet

Ofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania Bw. Karim Bablia aelezea huduma mpya ya TTCL ya kupata matangazo ya Televisheni kwa njia ya internet katika banda lao kwenye maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam Juni 30, 2015

 

11 years ago

Michuzi

Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) lapatiwa msaada wa Gari la kisasa la kurushia matangazo kutoka kwa Serikali ya China

 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara( wa pili kutoka kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya Gari la kurushia matangazo la TBC, kutoka kulia ni Makamu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya watu wa China Li Jingzao, Makamu wa Rais wa China Li Yunchao  na wa mwisho kushoto ni Mkurugenzi wa TBC Bw. Clement Mshana.   Gari la kisasa la kurushia matangazo ya moja kwa moja lililokabidhiwa kwa TBC likiwa katika viwanja vya Shirika hilo...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI ZINAZOWAJIBIKA KWA JAMII KUTAMBULIWA MACHI, 2015

Katibu wa Kamati ya Tathmini wa Taasisi ya Ushauri wa Biashara, Ernest Mwamwaja (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kampuni zinazowajibika kwa jamii kutambuliwa Machi mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Utafiti wa Shughuli za Maendeleo ya Jamii, Abraham Shempemba na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Ushauri wa Biashara, Dickson Hyera.
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI mbali mbali zinazotoa huduma kwa jamii zinatarajiwa kutambuliwa na...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI ZINAZOWAJIBIKA KWA JAMII KUTAMBULIWA MACHI, 2015‏

Katibu wa Kamati ya Tathmini wa Taasisi ya Ushauri wa Biashara, Ernest Mwamwaja (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kampuni zinazowajibika kwa jamii kutambuliwa Machi mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Utafiti wa Shughuli za Maendeleo ya Jamii, Abraham Shempemba na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Ushauri wa Biashara, Dickson Hyera. Na Dotto Mwaibale KAMPUNI...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani