Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matapeli waibukia Tanzania Kwanza, Ukawa

Askari kanzu wa Mkoa wa Dodoma wakiwa wamemkamata mtuhumiwa wa utapeli, John Thompson (mwenye suti), anayedaiwa kutapeli fedha za kukodisha  ukumbi kwa ajili ya kuandaa mkutano wa maridhiano kati ya kundi la Tanzania Kwanza na Ukawa katika Ukumbi wa Dodoma Hoteli jana. Picha na Fidelis Felix.

Askari kanzu wa Mkoa wa Dodoma wakiwa wamemkamata mtuhumiwa wa utapeli, John Thompson (mwenye suti), anayedaiwa kutapeli fedha za kukodisha ukumbi kwa ajili ya kuandaa mkutano wa maridhiano kati ya kundi la Tanzania Kwanza na Ukawa katika Ukumbi wa Dodoma Hoteli jana. Picha na Fidelis Felix.

NA FREDY AZZAH, DODOMA

MKUTANO uliotangazwa kwa mbwembwe wa kukutanisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wale wa Tanzania Kwanza, umeyeyuka kiaina huku mwandaaji akilalama kutapeliwa na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

Tanzania Kwanza and Ukawa activism faulted

Two members of the Constituent Assembly (CA) plan to embark on campaigns meant to convince members of the public to reject activism by Ukawa and Tanzania Kwanza outsde the CA.

 

11 years ago

TheCitizen

Ukawa, Tanzania Kwanza blamed for CA problems

>The Council of Political Parties is now blaming the existence of informal groups within the Constituent Assembly (CA) on the repeated chaos rocking the House.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kwa nini UKAWA na si Tanzania Kwanza?

WAKATI mchakato wa Katiba mpya ukiendelea na safari yake kupitia kwenye vikwazo vinavyowekwa makusudi na wenye hila, ambao hata hivyo hawawezi kufafanua sababu za kufanya hivyo wakaeleweka, wapo wananchi wanaojiuliza...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kwanza walaani Ukawa kususa

Kundi la Tanzania Kwanza linaloundwa na baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba limelaani hatua ya kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa kususia vikao vya Bunge hilo linaloendelea mjini hapa.

 

11 years ago

IPPmedia

Council of Political Parties: Tanzania Kwanza, UKAWA disrupting CA meetings


IPPmedia
Council of Political Parties: Tanzania Kwanza, UKAWA disrupting CA meetings
IPPmedia
Two recently formed coalitions in the Constituent Assembly (CA) have been strongly refuted by the Council of Political Parties which alleges they are not formal and interrupt the ongoing second draft review sessions. Speaking to journalists yesterday in the ...
Katiba assembly groups deemed divisiveDaily News

all 3

 

11 years ago

Michuzi

MWAKALEBELA AWATAKA WAJASILIAMALI IRINGA KUEPUKA MATAPELI KATIKA MIKOPO YA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA

Wanawake  wajasiliamali mjini Iringa  wakipewa maelekezo kutoka  mkurugenzi   mtendaji  wa kampuni ya ujasiliamali nchini  ya VANNEDRICK (T) Ltd Fredrick Mwakalebela (kulia)  wakati wa  semina  hiyo  inayoendelea katika ukumbi wa maendeleo ya jamii mjini Iringa Mwakalebela  katikati akiwa na wakufunzi wa mafunzo ya ujasiliamali wanaopaswa kupewa mikopo ya benki ya wanawake Tanzania Mwakalebela katikati akitoa maelekezo kwa  wajasiliama mali wanaohitaji mikopo ya benki ya wanawake...

 

10 years ago

Habarileo

Bilal, Magufuli waibukia Dodoma

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli.WANACHAMA watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wanatarajiwa kuchukua fomu, kuomba ridhaa ya uteuzi wa kuwania urais wa Tanzania, wakati wakiwa hawajatangaza nia kama ilivyo kwa wengi wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Vijana wa Afrika waibukia Ligi ya Marekani

Kwa muda mrefu wachezaji wa Kiafrika wamekuwa wakienda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani