Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matatani kwa kuwinda katika shamba la Mugabe

Jirani yake Rais wa Zimbabwe Robert, ametozwa faini baada ya Mbwa wake kuingia katika shamba la Mubage na kumwinda Mbawala.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO

Diaspora tunachangamoto nyingi zinazo tukabili ukiachia mbali swala la uraia pacha ambalo sasa tumewekwa kama raia wa kigeni kwenye nchi yako ya kuzaliwa na kinachoangaliwa zaidi ni kitu gani umeifanyia nchi yako japo ughaibuni umekuja kutafuta sawa na Mtanzania yeyote aliyetoka mkoani na kuelekea Dar es Salaam kwa lengo lilelile analofanya mwanaDiaspora anapokuja ughaibuni.

Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yahoo matatani katika makala ya Click

Kampuni ya mawasiliano ya barua pepe ya yahoo imeshtakiwa kwa kukiuka maadili na kusoma barua za kielektroniki kutoka kwa makampuni pinzani

 

10 years ago

Habarileo

Shamba apatikana na zao la ‘shamba’

SHAMBA Malela (20) mkazi wa Nianjema wilayani Bagamoyo mkoani Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na kete 136 za dawa aina ya heroin.

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE JOSHUA NASSAR AWAONGOZA WANANCHI KATIKA MAKABIDHIANO YA HEKARI 92 ZA SHAMBA LA MADIIRA ARUMERU

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akitia saini katika kitabu cha wageni katika ofisi ya kata ya Siela Sing'isi alipotembelea katika kijiji hicho cha Sing'isi.Mpima wa Halmashauri ya wilaya ya Meru ,Seveline Luambano akiwaonesha wananchi wa vijiji vya Sing'isi na Malala,mipaka pamoja na michoro ya ramani ya eneo la hekari 92 zilizotolewa kwa vijiji hivyo .zoezi hilo limeshuhudiwa na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar.Mbunge Nassari akiwaongoza wananchi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Aua bintiye kwa kupalilia vibaya shamba

MKAZI wa Kijiji cha Ng'ereng'ere Kata ya Nyamaraga wilayani Tarime katika Mkoa wa Mara, Michael Bokoyo (64) anatuhumiwa kumuua binti yake mwenye umri wa miaka 10 kwa mpini wa jembe akimtuhumu kupalilia shamba vibaya.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana akagua Shamba la Mikorosho 19270 iliyoharibika katika kijiji cha Magawa, Mkuranga na kuwaahidi kuwasaidia wakulima wa zao hilo kupata fidia

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia moja kati ya miti 19,270 ya korosho iliyoharibika  alipokwenda kukagua shamba la hekali 1000 katika Kijiji cha Magawa wakati wa ziara yake wilayani Mkuranga ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

IMG_5802

 Kinana akiongoza kukagua shamba la mikorosho iliyoharibika na kuwafanya wananchi wa Kijiji cha Magawa kuwa...

 

10 years ago

GPL

DOKII ATIMIZA AHADI YA SHAMBA KWA LUCY KOMBA

Stori: Imelda Mtema
 MSANII mkongwe wa filamu Ummy Wenslaus ‘Dokii’ amemkabidhi swahiba wake Lucy Komba, kiwanja chenye ukubwa wa robo hekari, kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani, tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni kutekeleza ahadi aliyoitoa kwenye kicheni pati yake. Msanii mkongwe wa filamu Ummy Wenslaus ‘Dokii’. “Mimi naona tunaendana kitabia na Lucy, alinipa kazi moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani