Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATATIZO KATIKA KORODANI ZA MWANAUME (TESTICULAR FAILURE)

Kazi ya korodani ni kuzalisha mbegu za kiume na homoni za kiume (Testosterone). Kwa hiyo korodani kushindwa kufanya kazi maana yake ni kushindwa kuzalisha mbegu na homoni za kiume.

Chanzo cha tatizo
Tatizo hili huwapata baadhi ya wanaume na chanzo chake ni kama vile matumizi ya baadhi ya dawa kwa muda mrefu mfano dawa kama Ketoconazole, glucocorticoids na dawa za usingizi hasa zile za kutuliza maumivu makali.

Pia yapo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tatizo la mwanaume kupoteza au kukosa korodani

Ni tatizo au ugonjwa unaoweza kumpata mwanaume yeyote lakini zaidi kwa watoto wa kiume, hali hii inatokana na mtoto wa kiume kuzaliwa bila kuwa na korodani na hivyo mifuko ya korodani japo ipo lakini mitupu, au kuzaliwa na korodani lakini baadae zikapotea ghafla ukubwani.

 

10 years ago

GPL

MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME NA JINSI YA KUYAKABILI

Viungo vya uzazi vya mwanaume vimegawanyika katika sehemu kuu mbili. Kuna viungo vya uzazi vya nje na vile vya ndani. Viungo vya uzazi vya nje ni vile tunavyoviona kama uume na mfuko wa korodani.
Viungo vya uzazi vya ndani ni mirija ya mbegu za kiume ambacho ni kifuko cha akiba cha mbegu na tezi dume au tezi ya ‘Prostate’. Viungo hivi vyote vina umuhimu mkubwa kwa mwanaume katika kumfanikisha kuweza kufanya tendo...

 

11 years ago

GPL

MATATIZO KATIKA MATITI

Matatizo ya matiti huwasumbua wanawake wengi na hata wanaume. Matatizo haya yapo ya aina nyingi, mfano uvimbe wa matiti, maumivu ya matiti au matiti kutoa maziwa au majimaji au damu. Tatizo hili hutokea katika umri wote kuanzia pale mwanamke anapovunja ungo hadi anapofikia ukomo wa hedhi. Matatizo ya matiti katika umri mkubwa kuanzia miaka 35 mara nyingi huambatana na saratani ya matiti. Jinsi tatizo linavyotokea Uvimbe wa matiti...

 

10 years ago

GPL

MATATIZO KATIKA TENDO LA NDOA

Tatizo hili huwapata wote wanawake na wanaume.  Tatizo katika tendo la ndoa ni pana sana, yapo matatizo ya jumla ambayo hutokea pande zote mbili na yapo matatizo yanayowapata wanawake peke yao na yapo yanayowapata wanaume peke yao. Matatizo haya yote tutakayoelezea huchunguzwa na kutibiwa hospitali kuanzia ngazi za hospitali za wilaya, mikoa hadi rufaa. MATATIZO KWA WANAWAKE
Kwa wanawake hukumbwa na matatizo mengi katika...

 

11 years ago

GPL

MATATIZO KATIKA NJIA YA HAJA KUBWA

TATIZO hili huwapata wanaume na wanawake. Matatizo haya hujitokeza katika hali ya tofauti kutegemea na chanzo halisi. Mfumo wa haja kubwa ni pamoja na mfuko wa kuhifadhia haja kubwa ‘rectum’ na sehemu haja inapokea ‘anus’. Ulaji usiofaa wa vyakula huchangia tatizo hili endapo hupati choo laini mara kwa mara. Jinsi ya tatizo linavyotokea
Kukosa kupata choo kikubwa mara kwa mara ni mojawapo ya tatizo...

 

11 years ago

GPL

MATATIZO KATIKA MFUMO WA CHAKULA (GASTRO INTESTINAL DISORDERS)

Jinsi tatizo linavyojitokeza
Matatizo yanayotokea katika mfumo huu ni kama vile vidonda, uvimbe na kasoro za kuzaliwa nazo.
Vidonda vinaweza kuwa kinywani, kooni kwenye njia ya kupitishia chakula, tumboni hadi katika mfuko wa haja kubwa na njia yake ya kutolea. Uvimbe pia hutokea maeneo hayo yote tuliyoyaona na uvimbe huu unaweza kuwa kansa au usiwe na kansa. Kasoro za kuzaliwa nazo ni kama vile kuziba  kwa njia ya...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KINONDONI AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKIANA KATIKA MATATIZO

MBUNGE wa Kinondoni,Idd Azzan amewataka wananchi kuwa na ushirikiano wakati wa matatizo ili kuwafariji wahanga waliopata majanga.
Mh.Azzan aliyasema hayo jana wakati alipowatembelea wananchi wake waliopata mafuriko pamoja na wale ambao nyumba zao zimezingirwa na maji,amesema kuwa sasa ni wakati wa watu kusaidia wenzao waliopata na maafa.
Amesema kuwa ametoa mpira wa kutolea maji kutokana na kuepusha na magonjwa ya mlipuko yatakayotokana na maji  yaliyojaa katika mitaa iwamo Kipindupindu na...

 

10 years ago

GPL

MATATIZO KATIKA UZALISHAJI WA MBEGU ZA KIUME (LOW SPERM COUNT)

Matatizo katika uzalishaji wa mbegu za kiume inahusiana na kutokuwepo kwa mbegu za kiume kwenye manii au uwepo wa mbegu kidogo sana katika manii. Mbegu za kiume huwa zinachunguzwa kwa kutumia kifaa maalum au darubini katika maabara, kwa kawaida mwanaume ili aweze kumpa mwanamke mimba anatakiwa atoe kiasi cha mbegu kati ya milioni ishirini hadi milioni mia tatu hamsini kwa tendo, chini ya milioni ishirini huwezi kumpa mimba...

 

11 years ago

Habarileo

Amuua mumewe kwa kumvuta korodani

POLISI mkoani Pwani inamshikilia mkazi wa Tarafa ya Vikindu Kata ya Kisemvule wilaya ya Mkuranga, Husna Iddi (16), kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mumewe kwa kumvuta sehemu zake za siri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani