Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATEJA WAMUAMISHA MAIMARTHA

Stori: Hamida Hassan
MTANGAZAJI maaraufu Bongo, Maimartha Jesse amelazimika kuhamisha duka lake lililokuwepo maeneo ya Manyanya-Kinondoni kukwepa vurugu za wabwia unga (mateja). Maimartha Jesse. Maimartha alichukua uamuzi huo mapema mwaka huu kufuatia kukerwa na mateja hao kwa muda mrefu katika duka lake la vipodozi hivyo akaona bora alihamishie maeneo ya Vijana, Kinondoni jijini Dar. “Mwenzagu walizidi sana kurandaranda...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAKAHABA, MATEJA WAMPONZA GWAJIMA!

WAANDISHI WETU/Amani NI msala! Kupigwa notisi ya kutakiwa kuhamisha kanisa kwa  Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kumeelezwa kusababishwa na baadhi ya makahaba, wavuta bangi na wengineo, Amani limeambiwa. Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Mapema wiki iliyopita, Gwajima amepewa  notisi na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ikimtaka kuhamisha kanisa lake kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tibaijuka ataka ‘mateja’ walindwe

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa  Anna Tibaijuka, ametaka kuwepo na mikakati ya kuwalinda vijana wanaoathirika na dawa za kulevya. Alisema kuwa hadi sasa serikali haina mikakati...

 

9 years ago

Mtanzania

Nehemia Mchechu mgeni rasmi tamasha la ‘mateja’

Nehemia MchechuNA MWANDISHI WETU

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la kwaya mbalimbali lenye lengo la kuchangia uanzishwaji wa Kituo cha kusaidia vijana walioathirika na dawa za kulevya.

Tamasha hilo lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kigogo, litafanyika Jumapili ya Oktoba 18, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.

Msanii kutoka Kenya, Solomoni Mukubwa, kwaya ya...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA BOBBY CHRISTINA, MASTAA MATEJA MNA HAMU NANYI YAWAKUTE?

JUMAPILI iliyopita, mtoto pekee wa waimbaji nyota wa muziki nchini Marekani, Whitney Houston na Bobby Brown aitwaye Bobbi Christina, alifariki dunia baada ya kuwa amelazwa tangu Januari mwaka huu, akiwa hajitambui. Bobbi, ambaye wazazi wake wote wawili walikuwa ni waathirika wa madawa ya kulevya, Januari 31, mwaka huu alikutwa ameanguka bafuni nyumbani kwake akiwa hajielewi na uchunguzi wa kitabibu ulionesha kwamba alianguka...

 

10 years ago

GPL

MUSA MATEJA ASHEREHEKEA 'BETHIDEI' YAKE NA WAFANYAKAZI WANZAKE GLOBAL

Musa Mateja (kushoto) akilishwa keki na Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia). ...Akimlisha keki Abdallah Mrisho.…

 

9 years ago

GPL

MAIMARTHA ACHOMOLEA SIASA

Mtangazaji Maimartha Jesse. Mwandishi wetu Mtangazaji Maimartha Jesse ameibuka na kusema kuwa yeye kama mtangazaji hawezi kushabikia siasa akiamini siyo sahihi kufungamana na upande wowote ingawa kama Mtanzania atampigia kura yule anayeona anafaa. Akizungumza na Ijumaa, Maimartha alisema kuwa anawashangaa mastaa kugombana kutokana na siasa na kuweka hadharani hisia zao wakati kikawaida hawakupaswa ili kutowagawa mashabiki wa kazi...

 

11 years ago

GPL

MAIMARTHA ATIWA MBARONI

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Mtangazaji maarufu wa Runinga Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiwekwa nyuma ya nondo kwa madai ya kumtapeli dada mmoja aliyetambulika kwa jina la Zai, mkazi wa Zanzibar. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, mtangazaji huyo alilipwa pesa ya kianzio cha shughuli ya u-MC visiwani humo mwezi mmoja uliopita lakini akashindwa kwenda bila sababu za msingi.
“Kifupi Maimartha alifanya...

 

10 years ago

GPL

MAIMARTHA AMUUMBUA SAJENT

Na Hamida Hassan
Kumekuwa na madai kuwa, mwanadada Husna Sajent ameolewa na msanii mwenzake wa filamu, Salim Ahmed ‘Gabo’ lakini wenyewe wamekuwa wakikanusha! Hata hivyo, juzikati Maimartha Jesse ‘Mai’ alimwaga mchele mbele ya kuku kwa kumuita Husna ‘Mrs Gabo’. Maimartha Jesse ‘Mai’. Mai alifanya hivyo pale alipokuwa akiwatambulisha mastaa waliohudhuria sherehe ya ‘baby...

 

11 years ago

GPL

MAIMARTHA AUKARIBISHA UPOFU

Stori: Shakoor Jongo
MWANADADA mtangazaji na mjasiriamali, Maimartha Jesse anaonekana kuukaribisha upofu kufuatia kukithiri kutumia gundi katika kujipachika kope bandia. Maimartha Jesse. Kwa mujibu wa daktari wa Ijumaa, wanawake wanaobandika sana kope bandia wanajiweka kwenye hatari ya kupata upofu ambapo Mai ni miongoni mwao. Katika tukio la hivi karibuni mwanadada huyo alionekana akiwa amejibandika gundi katika harakati ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani