Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tibaijuka ataka ‘mateja’ walindwe

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa  Anna Tibaijuka, ametaka kuwepo na mikakati ya kuwalinda vijana wanaoathirika na dawa za kulevya. Alisema kuwa hadi sasa serikali haina mikakati...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Graca Machel ataka watoto wa kike walindwe Tarime

Mke wa rais wa kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, Mama Graca Machel ameitaka jamii kuondokana na suala la ukatili wa kijinsia ukiwamo ukeketaji, ndoa na mimba za utotoni kwa lengo la kumlinda mtoto wa kike na kumpa nafasi ya kutimiza ndoto zake.

 

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WATOA YA MOYONI JANGA LA CORONA, PROF. TIBAIJUKA ATAKA TIBA MBADALA ITUMIKE

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

WABUNGE wameendelea kutoa maoni na ushauri kwa Serikali kuhusu hatua inaweza kuzichukua kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19(Corona) huku Mbunge wa Muleba Kusini Profesa Anna  Tibajuka akitaka tiba mbadala nayo itumike kwenye kukabiliana na ugonjwa huo.

Wakizungumza Bungeni Mjini Dodoma kwa nyakati tofauti leo Aprili 3 mwaka 2020, wabunge ambao wamepata nafasi ya kuchangia hotuba ya Waziri Mkuu, wametumia nafasi hiyo kutoa maoni yao kuhusu janga la...

 

11 years ago

GPL

MATEJA WAMUAMISHA MAIMARTHA

Stori: Hamida Hassan
MTANGAZAJI maaraufu Bongo, Maimartha Jesse amelazimika kuhamisha duka lake lililokuwepo maeneo ya Manyanya-Kinondoni kukwepa vurugu za wabwia unga (mateja). Maimartha Jesse. Maimartha alichukua uamuzi huo mapema mwaka huu kufuatia kukerwa na mateja hao kwa muda mrefu katika duka lake la vipodozi hivyo akaona bora alihamishie maeneo ya Vijana, Kinondoni jijini Dar. “Mwenzagu walizidi sana kurandaranda...

 

10 years ago

Habarileo

TAS- Maalbino walindwe

KATIBU Mkuu wa Chama cha Maalbino (TAS), Zakia Nsemo ameiomba Serikali iongeze ulinzi kwa watu wenye ulemavu wa ngozi kwa kuwa maisha yao kuwa hatarini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wataka wanahabari walindwe

WADAU wa habari mkoani Mtwara wameiomba serikali kuwawekea ulinzi wa kutosha waandishi wa habari wakati wanapotekeleza majukumu yao. Hayo yalisemwa na mdau wa habari, Mohamed Juma, wakati akichangia mada kwenye...

 

10 years ago

GPL

MAKAHABA, MATEJA WAMPONZA GWAJIMA!

WAANDISHI WETU/Amani NI msala! Kupigwa notisi ya kutakiwa kuhamisha kanisa kwa  Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kumeelezwa kusababishwa na baadhi ya makahaba, wavuta bangi na wengineo, Amani limeambiwa. Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Mapema wiki iliyopita, Gwajima amepewa  notisi na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ikimtaka kuhamisha kanisa lake kwenye...

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wataka walindwe na polisi

 Felix MkosamaliMBUNGE wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCRMageuzi) ameomba Serikali iwape ulinzi wa polisi wabunge, kama inavyofanya kwa viongozi wengine, wakiwemo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.

 

11 years ago

Mwananchi

Profesa Meena ashauri watoto walindwe

Mtaalamu wa Mambo ya Katiba, Profesa Ruth Meena amesema Rasimu ya Pili ya Katiba ina kasoro ya kutotambua haki za msingi za mtoto ikiwamo kutoa tafsiri ya neno mtoto.

 

9 years ago

Mtanzania

Nehemia Mchechu mgeni rasmi tamasha la ‘mateja’

Nehemia MchechuNA MWANDISHI WETU

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la kwaya mbalimbali lenye lengo la kuchangia uanzishwaji wa Kituo cha kusaidia vijana walioathirika na dawa za kulevya.

Tamasha hilo lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kigogo, litafanyika Jumapili ya Oktoba 18, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.

Msanii kutoka Kenya, Solomoni Mukubwa, kwaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani