TAS- Maalbino walindwe
KATIBU Mkuu wa Chama cha Maalbino (TAS), Zakia Nsemo ameiomba Serikali iongeze ulinzi kwa watu wenye ulemavu wa ngozi kwa kuwa maisha yao kuwa hatarini.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Tibaijuka ataka ‘mateja’ walindwe
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ametaka kuwepo na mikakati ya kuwalinda vijana wanaoathirika na dawa za kulevya. Alisema kuwa hadi sasa serikali haina mikakati...
11 years ago
Habarileo11 Jun
Wabunge wataka walindwe na polisi
MBUNGE wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCRMageuzi) ameomba Serikali iwape ulinzi wa polisi wabunge, kama inavyofanya kwa viongozi wengine, wakiwemo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Wadau wataka wanahabari walindwe
WADAU wa habari mkoani Mtwara wameiomba serikali kuwawekea ulinzi wa kutosha waandishi wa habari wakati wanapotekeleza majukumu yao. Hayo yalisemwa na mdau wa habari, Mohamed Juma, wakati akichangia mada kwenye...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Profesa Meena ashauri watoto walindwe
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Graca Machel ataka watoto wa kike walindwe Tarime
10 years ago
Dewji Blog03 Jul
Zantel yakisaidia Chama cha Maalbino
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akikabidhi hundi ya shilingi milioni tano kwa Mwenyekiti wa Chama cha Maalbino Tanzania, Bwana Ernest Kimaya.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose (katikati) akizungumza na waandishi wa habari juu ya ushirikiano wao na chama cha Maalbino Tanzania. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Zantel, Bi Progress Chisenga, na Mwenyekiti wa Chama cha Maalbino Tanzania, Ernest Kimaya.
Mwenyekiti wa Chama cha Maalbino Tanzania, Ernest Kimaya akizungumza na...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1KLzwhspiUI/VhZQlGB3e6I/AAAAAAAH9xA/f58a89sVv84/s72-c/1.jpg)
ZANTEL YATEMBELEA CHAMA CHA MAALBINO TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-1KLzwhspiUI/VhZQlGB3e6I/AAAAAAAH9xA/f58a89sVv84/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZVF6uZ1KQCA/VhZQlbHPkoI/AAAAAAAH9xI/vJw-4mi8SMY/s640/2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 May
Elimu zaidi yatakiwa kubadili jamii kuthamini maalbino
Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye akiwakaribisha mameneja wa Redio za jamii nchini (hawapo pichani) walioshiriki kwenye mafunzo ya siku moja ya kutoa elimu kwa Redio za jamii nchini juu ya kuandaa vipindi vyenye ujumbe sahihi wa masuala yanayohusu watu wenye Albinism iliofanyika katika kituo cha Redio Jamii Sengerema hivi karibuni. Katikati ni Afisa mtetezi na ushawishi kutoka shirika linaloshughulika na watu wenye Albinism la...
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Zantel yatembelea ofisi za Chama Cha Maalbino Tanzania
Mmoja wa wafanyakazi wa Chama Cha Albino, Christina Mbedi akielezea namna Chama cha Albino kinavyofanya kazi zake kwa Meneja wa Chapa na Mawasiliano wa Zantel, Arnold Madale wakati wa ziara ya viongozi wa Zantel ofisini kwao. Anayetizama kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Umoja wa Albino Tanzania, Ernest Kimaya.
Meneja wa Chapa na Mawasiliano wa Zantel, Arnold Madale akikabidhi msaada wa vifaa vya mawasiliano kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Chama cha Albino Tanzabua, Ernest Kimaya. Wanaotazama...