MAKAHABA, MATEJA WAMPONZA GWAJIMA!
![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PIgm1ECtz7F5pgmRKmvxyraKxJJV*vlmZsv2R18rzPxhMo6qeaHovKPZnIw6dQTcGQ4TwySKikNFS8YY-4mVRKg/BACKAMANI.jpg)
WAANDISHI WETU/Amani NI msala! Kupigwa notisi ya kutakiwa kuhamisha kanisa kwa Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kumeelezwa kusababishwa na baadhi ya makahaba, wavuta bangi na wengineo, Amani limeambiwa. Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Mapema wiki iliyopita, Gwajima amepewa notisi na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ikimtaka kuhamisha kanisa lake kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtrV2*vc8pM6fSPdpozDOaL08PDSYgQBBMSFwVJyxk77m*uBF8Q9x96vP*FYAOMlVEDAuRacL0AvCMjGUibFjjm4/mai.jpg?width=650)
MATEJA WAMUAMISHA MAIMARTHA
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Tibaijuka ataka ‘mateja’ walindwe
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ametaka kuwepo na mikakati ya kuwalinda vijana wanaoathirika na dawa za kulevya. Alisema kuwa hadi sasa serikali haina mikakati...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-RFlyrPTZVGg/VSjNDFU8rZI/AAAAAAAArrw/3ytkrSqJDUE/s72-c/GWAJIMA2%2B%281%29.jpg)
Mawakili wa Gwajima Wajibu Mapigo Waiandikia Barua Polisi Kuhusu Uhalali wa Kumtaka Gwajima Awasilishe Nyaraka 10 za Mali Zake
![](http://4.bp.blogspot.com/-RFlyrPTZVGg/VSjNDFU8rZI/AAAAAAAArrw/3ytkrSqJDUE/s1600/GWAJIMA2%2B%281%29.jpg)
Mawakili wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.Barua hiyo iliyosainiwa na Wakili Peter Kibatala iliwasilishwa jana mchana katika jeshi hilo, ikiwa ni siku moja baada ya jeshi hilo kumtaka Askofu Gwajima kuwasilisha nyaraka 10, Aprili 16 mwaka huu watakapoendelea na mahojiano.
Gwajima...
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Nehemia Mchechu mgeni rasmi tamasha la ‘mateja’
NA MWANDISHI WETU
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la kwaya mbalimbali lenye lengo la kuchangia uanzishwaji wa Kituo cha kusaidia vijana walioathirika na dawa za kulevya.
Tamasha hilo lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kigogo, litafanyika Jumapili ya Oktoba 18, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Msanii kutoka Kenya, Solomoni Mukubwa, kwaya ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NQ48wH9Dt2S6eCb48ymkyYcFWRd3EUDrx2YZ0TSTtb9-gG14*82nMOLp6R9Gdvi02mVJn81c0uxY5pzFxN2RZuJzcwGXGJ*A/MAMAWEMA.jpg?width=650)
KIFO CHA BOBBY CHRISTINA, MASTAA MATEJA MNA HAMU NANYI YAWAKUTE?
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Nawapenda makahaba
11 years ago
Mwananchi16 Mar
‘Makahaba’ wavamia Dom
11 years ago
BBCSwahili09 May
Makahaba wa jangwani Sahara
11 years ago
Mwananchi13 Apr
‘U-CCM’ wamponza Dk. Michael