Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matibabu ya wakubwa yakiisha, tuulizie afya za hohehahe- 2

Jumapili iliyopita, tulijadili sehemu ya kwanza ya makala haya. Tuliangalia kwa muhtasari suala la Rais wetu kwenda kutibiwa nje ya nchi na kutoa taarifa kuwa utaratibu huo ni wa kawaida kwa marais na viongozi wengine hapa Afrika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Matibabu ya wakubwa yakiisha, tuulizie afya za hohehahe - 1

Wiki moja iliyopita Serikali yetu kupitia Ikulu iliujulisha umma kuwa Rais Jakaya Kikwete anakwenda nje ya nchi kukagua afya yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania tujifunze kuweka afya mikononi, tusisubiri kudra ya wakubwa au mungu-3

Miaka yote niliyosafiri na kuishi ughaibuni nimebaini siri moja kuhusu afya. Wananchi wengi duniani hawaijali miili hadi wanapougua.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA AIPONGEZA MUHIMBILI KUFANIKISHA MATIBABU YA MOYO KWA WATANZANIA

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Dkt. Seif Rashid ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili kupitia Idara yake ya Tiba na Upasuaji Moyo kwa kufanikisha matibabu ya moyo kwa wagonjwa 24 katika kipindi cha siku nne. 
Hayo ameyasema alipotembelea Hospitali hiyo kuona namna ambavyo wataalam wetu kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Prince Sultan Cardiac Centre iliyoko Riyadhi nchini Saudi Arabia ambao wamekuwepo Muhimbili toka tarehe 9 Mei na wanatarajiwa kuondoka...

 

5 years ago

Michuzi

WADAU WA AFYA WACHANGIA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA WAKATI WA MATIBABU SHINYANGA




Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akimkabidhi Mganga Mkuu Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile Methylated Sprit 'Sanitizer' ikiwa ni sehemu ya vifaa vyenye thamani shilingi milioni 10.7 kwa ajili ya kujikinga na kukabiliana na Maambukizi ya Virusi vya Corona wakati wa matibabu vilivyotolewa na wadau wa afya mkoa wa Shinyanga likiwemo shirika la Touch Foundation Jumatatu Aprili 6,2020 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga. Picha zote na Kadama Malunde -...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA AFYA, DR. SEIF, AZINDUA KITUO CHA MATIBABU YA SARATANI HOSPITALI YA AGA KHAN‏

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Dk. Seif Seleman Rashid akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya matibabu ya saratani kwa mara ya kwanza katika Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliohudhuriwa na mtoto kutoka familia ya familia ya Aga Khan, Zahra ulifanyika katika ukumbi uliopo hospitalini hapo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif Seleman Rashid (kulia) akibadilishana mawazo na mtoto...

 

10 years ago

Vijimambo

ZANZIBAR | CHINA YAISAIDIA WIZARA YA AFYA VIFAA KWA AJILI YA KITENGO CHA MATIBABU YA MACHO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZIMMOJA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Saleh Mohamed Jidawi akitoa maelezo wakati wa Hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya uchunguzi na upasuaji wa macho kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China. Wa kwanza (kushoto) ni Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman na (wakatikati) ni Balozi mdogo wa China aliepo Zanzibar Xie Yuanliang. Balozi Mdogo wa China Xie Yuanliang akimkabidhi Waziri wa Afya Rashid Seif Suleima msaada wa vifaa vya matibabu ya macho uliotolewa na Serikali ya nchi yake. Hafla hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

CHINA YAIPIGA JEKI WIZARA YA AFYA ZANZIBAR,YAIPATIA VIFAA KWA AJILI YA KITENGO CHA MATIBABU YA MACHO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZIMMOJA

Balozi Mdogo wa China aliopo Zanzibar,Mh. Xie Yuanliang (kulia) akimkabidhi Waziri wa Afya Zanzibar,Mh. Rashid Seif Suleima msaada wa vifaa vya matibabu ya macho uliotolewa na Serikali ya nchi yake. Hafla hiyo ilifanyika Makao Mkuu ya wizara ya Afya Mnazimmoja mjini Zanzibar.Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar,Dkt. Saleh Mohamed Jidawi akitoa maelezo wakati wa Hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya uchunguzi na upasuaji wa macho kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China. Wa kwanza...

 

9 years ago

BBCSwahili

Benki ya Dunia: Maskini hohehahe wamepungua

Benki ya Dunia imesema watu watakaokuwa wakiishi katika umaskini uliokithiri kufikia mwisho wa mwaka 2015 watakuwa chini ya 10%.

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA MATIBABU MKOANI RUKWA WAPEWA ELIMU YA UTARATIBU WA MIKOPO MBALIMBALI INAYOTOLEWA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Smythies Pangisa akichangia na kufunga Semina maalum ya siku moja iliyoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuwaelimisha wadau wa vituo mbalimbali vya kutolea huduma za matibabu Mkoani Rukwa juu utaratibu wa Mfuko huo katika kutoa mikopo ya vifaa tiba, dawa na ukarabati wa vituo vya kutolea huduma za matibabu. Lengo kuu la utaratibu huo ulioanzishwa na Mfuko wa Bima ya Taifa ni kuboresha huduma za matibabu kwa wanachama wake na watanzania kwa ujumla....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani