Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania tujifunze kuweka afya mikononi, tusisubiri kudra ya wakubwa au mungu-3

Miaka yote niliyosafiri na kuishi ughaibuni nimebaini siri moja kuhusu afya. Wananchi wengi duniani hawaijali miili hadi wanapougua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MZEE ALI HASSAN MWINYI ATIMIZA MIAKA 95, WATANZANIA WAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AZIDI KUMPA AFYA NJEMA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

LEO Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi anasherehekea siku yake ya luzaliwa kwa kufikisha umri wa miaka 95 akiwa mwenye afya njema.

Watanzania wa kada mbalimbali wamempongeza mzee Mwinyi kwa kufikisha umri huo huku wakiendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema na maisha marefu.Mzee Mwinyi ambaye ameliongoza Taifa la Tanzania katika Serikali ya Awamu ya Pili ameendelea  kuwa Rais mwenye kupendwa na kukumbukwa na hasa...

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania tujifunze kunufaika na jumuiya A. Mashariki

Tanzania ni moja ya waasisi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyoanzishwa mwaka 1967, ikiwa na Uganda na Kenya.

 

10 years ago

Mwananchi

Matibabu ya wakubwa yakiisha, tuulizie afya za hohehahe- 2

Jumapili iliyopita, tulijadili sehemu ya kwanza ya makala haya. Tuliangalia kwa muhtasari suala la Rais wetu kwenda kutibiwa nje ya nchi na kutoa taarifa kuwa utaratibu huo ni wa kawaida kwa marais na viongozi wengine hapa Afrika.

 

10 years ago

Mwananchi

Matibabu ya wakubwa yakiisha, tuulizie afya za hohehahe - 1

Wiki moja iliyopita Serikali yetu kupitia Ikulu iliujulisha umma kuwa Rais Jakaya Kikwete anakwenda nje ya nchi kukagua afya yake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya ipo mikononi mwa watanzania

HATMA ya kupatikana au kutokupatikana kwa katiba mpya ya Tanzania imebaki mikono mwetu watanzania kwa kuipigia kura ya Ndiyo au Hapana. Tayari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA BMF YAENDESHA MAFUNZO KWA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII UMMY ASHAURI TUJIFUNZE KUISHI NA CORONA




Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiWAZIRI wa Afya, maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto, Ummy Mwalimu amewaasa Watanzania kujifunza kuishi na Corona kwani itakuwepo kwa miezi kadhaa hivyo maisha ni lazima yaendelee na uzalishaji mali uendelee huku wananchi wakiendelea kuchukua tahadhari kwa kufuata miongozo iliyotolewa na waudumu wa afya.
Ameyasema hayo leo Mei 14, 2020 jijini Dar es Salaam alipotembelea mafunzo ya waudumu wa afya ngazi ya jamii yanayotolewa na Wizara ya afya kwa ufadhili...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watanzania waadhimisha sikukuu ya UHURU wakiwa na zana za usafi mikononi

Untitled 1

Leo ni siku muhimu ya 9, Desemba, Tanzania ikisheherekea mwaka wa 54 wa uhuru wa Tanganyika tangu upatikane kutoka kwa Muingereza mwaka 1961.

Kama ilivyo kawaida miaka 53 iliyopita tulikuwa tukisherekea siku kuu hii kwa maadhimisho ya namna tofauti , ikiwa ni pamoja na sherehe zinazoandaliwa na serikali ya muungano, lakini kwa mwaka huu ndani ya uongozi mpya wa awamu ya tano shughuli hii imekuwa ya tofauti na ya kipekee katika kutilia mkazo suala la usafi nchi nzima.

Watanzania wengi kutoka...

 

10 years ago

Vijimambo

Mawaziri wa Afya wa Zanzibar na wa Afya wa Jamuhuri ya Muungano wakutana na waTanzania Ujerumani

Waziri wa afya na ustawi wa jamii wa Jamuhuri ya muungano Mhe.Bw.Seif Rashid na waziri wa afya wa Zanzibar Mhe. Rashid Seif Suleiman, Siku ya jumapili 25 januari 2015 walikutana na kuongea na baadhi ya watanzania waishio nchini ujerumani katika hoteli ya Martim Hotel mjini Berlin,mawaziri hao kwa pamoja waliongozana na balozi Tanzania nchini Ujerumani mheshimiwa Bw.Philip Malmo,katika mkutano huo mawaziri hao wote walielezea jinsi wizara zao zinavyofanya kazi kuhakikisha kuwa huduma za afya...

 

9 years ago

StarTV

Waziri Mkuu awahimiza Watanzania kuweka akiba

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa mkoa wa Ruvuma kuacha matumizi mabaya hya Fedha badala yake wawe na tabia ya kuweka akiba  ya fedha zao benki.

Waziri Mkuu Majaliwa wakati akizindua Benki ya Posta Mkoani Ruvuma amesema endapo mtu hataweka akiba atashindwa kufanya Mambo ya Maendeleo.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa .Kasimu Majaliwa amesema kuweka Fedha Benki kuna kusaidia kuepukana na wezi, pia kunapunguza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani