Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matokeo tafiti za ardhi kuwafikia walengwa

VIFO vya wajawazito vinavyotokana na uzazi na watoto wilayani hapa vimepungua kutoka vifo 310 kati ya wajawazito 100,000 hadi kufikia vifo 95 kwa mwaka 2013.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wasomi wasema tafiti za kilimo haziwanufaishi walengwa

Licha ya Wataalamu kutoka vyuo vikuu nchini kufanya tafiti mbalimbali za kilimo lakini tafiti hizo zimekuwa hazionekani na kutowanufaisha wananchi ambao ni walengwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya Tafiti kuondoa adha ya wanawake watumia kuni

massele+px

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Mhe. Stephen Masele.

Na.  Johary Kachwamba – MAELEZO, DODOMA

Tafiti mbalimbali zimefanyika na zinaendelea kufanyika ili kupata majiko mbadala yasiyotumia nishati ya kuni hapa nchini.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Mhe. Stephen Masele wakati akijibu swali la msingi la Mhe. Amina Makilagi, mbunge wa Viti Maalum iliyehoji matumizi ya tafiti za kupata majiko mbadala

“tafiti hizi zinahusu...

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA KUFUTIWA HATI YA ARDHI.

Na Bashir YakubMakala  zilizopita  nilieleza   mazingira ya  kisheria  ambapo  mtu  anaweza   kunyanganywa  ardhi  yake  na  kufutiwa  hati  miliki  na  hatimye  ardhi  kupewa  mtu  mwingine  au  kukabidhiwa  mikononi  mwa  serikali. Nilieleza  mambo  mengi  ikiwemo   sababu  ambazo  zinaweza  kupelekea mamlaka  za  ardhi  kufuta  hati  miliki  ya mtu.  Pia  nilionya  kuwa unapomiliki  ardhi  sio  kwamba  umemaliza,  hapana,  isipokuwa  kuna umuhimu  mkubwa wa  kuzingatia  na  kufuata...

 

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WAVUTIWA NA MAFANIKIO YA WALENGWA WA TASAF MKOANI SINGIDA.



Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakiwa katika eneo la mmoja wa Walengwa wa TASAF (bi. Edith Makala ) wakishuhudia namna mradi wake ya kushona nguo aliouanzisha baada ya kupata ruzuku ya TASAF unavyotekelezwa.

Mmoja wa walengwa wa TASAF Bi. Esther Mangi Nkumbi (aliyevaa kitambaa cha bluu kichwani ) akiwaelezea wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa namna alivyonufaika na ruzuku kutoka TASAF kwa kuanzisha shughuli ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NSSF kuwafikia wajasiriamali milioni 22

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limepanga kuwafikia wajasiriamali zaidi ya milioni 22 walio katika sekta isiyo rasmi, ili wajiunge na mfuko huo. Meneja wa Mafao wa shirika...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI INAHAKIKISHA WALENGWA WA CHANJO WANAFIKIWA KATIKA KIPINDI CHA CORONA

Ofisa Mradi kutoka Mpango wa Taifa wa Chanjo kutoka Wizara ya Afya Lotalis Gadau akihojiana na Mratibu wa chanjo Mkoa wa Pwani Bw. Abbas Hincha kwenye hospitali ya wilaya Mlandizi wakati wa ukaguzi elekezi wa utoaji huduma za chanjo katika mkoa wa Pwani .


Alama zinazoelekeza mteja anayefika kliniki ya hospitali ya wilatya Mlandizi kukaa kwa umbali unaostahili
Wazazi waliofika kwenye hospitali ya mlandizi walivyokaa kwa kuzingatia umbali kati ya mtu na mtu
Ukaguzi ukiendelea kwenye...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mawasiliano ya mkongo kuwafikia wengi zaidi

MBUNGE wa Igalula Athuman Mfutakamba (CCM) ameitaka serikali kueleza namna ilivyojipanga kuleta maendeleo ya sekta za kilimo, afya, elimu, biashara, ulinzi na wanyamapori kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Alisema lengo...

 

11 years ago

Mwananchi

Simu za mkononi sasa kuwafikia wanavijiji

 Jumla ya Kata 86 zenye vijiji 511 na wakazi wapatao 600,000 nchini wanatarajiwa kupata huduma za mawasiliano ya simu za mkononi hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu baada ya jana Serikali kuwekeana mkataba na kampuni tano za huduma za simu za mkononi.

 

10 years ago

Michuzi

WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI UNAOTEKELEZWA NA TASAF WACHIMBA MTARO WA MAJI

WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI UNAOTEKELEZWA NA TASAF WACHIMBA MTARO WA MAJI  KUPITIA UTARATIBU WA AJIRA YA MUDA KATIKA SHEHIA YA MPAPA,MKOA WA KUSINI UNGUJA.
Maelfu ya wakazi wa shehia ya Mpapa wilaya ya Kusini Unguja wanatarajiwa kunufaika na huduma ya maji safi na salama baada ya kukamilika kwa mradi wa maji unaotekelezwa na walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya maskini unaoratibiwa  na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF kwa utaratibu wa ajira ya muda PWP.
Wakizungumza katika eneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani