MATUKIO 4 MSIBANI KWA TYSON

Stori: Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata MWILI wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ usiku wa Jumanne iliyopita ulifikishwa nyumbani kwake Mbezi Makonde jijini Dar kwa ajili ya ndugu zake ambao kesho yake (Jumatano) wasingeweza kufika Viwanja vya Leaders Club kuuaga, wafanye hivyo. Aliyekuwa mke wa marehemu, George Otieno ‘Tyson’, Yvone Cherryl ‘Monalisa’akilia kwa uchungu. Ijumaa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
JK MSIBANI KWA MZEE SMALL
10 years ago
GPLMAJONZI MSIBANI NYUMBANI KWA KOMBA
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Pigano kati ya Deontay Wilder na Tyson Fury II: Mike Tyson ana muunga mkono Fury
11 years ago
GPL
KINACHOENDELEA MSIBANI KWA MZEE SMALL, TABATA
10 years ago
VijimamboMSIBANI NYUMBANI KWA BWANA NA BI KIBODYA SPRINGFIELD.MA
Mke wa Bwana Kibodya akiwa mwenye udhuni baada ya kuondoewa na baba yake mpendwa huko Tanzania, Hapa ni nyumbani kwa Bwana na Bi Kibodya Vail St, Springfield jana jioni ndugu, jamaa na marafiki walifika kutoa mkono wa pole kwa wafiwa huko.
11 years ago
GPL
KIPINDI MAALUM: MSIBANI KWA MAALIM GURUMO
11 years ago
Mwananchi09 Dec
‘Hakuna mahali pa kukanyaga’ msibani kwa Mandela
11 years ago
GPL
TASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA MZEE SMALL
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Aunt Ezekiel: Msibani si kwa kuonyesha urembo
NA RHOBI CHACHA
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amewaponda wasanii wanaokwenda misibani wakiwa wamejipara kupita kiasi.
Msanii huyo aliwaponda wasanii wenzake wenye tabia ya kutumia sehemu za misiba kugeuza uwanja wa kuonyesha mavazi na vito vya thamani katika miili yao.
“Wenye tabia hizo acheni kujipodoa katika msiba, tunakera wenzetu ndiyo maana linaongelewa kila siku tuishi kulingana na utamaduni wetu tusiige,’’ alisema huku akifafanua zaidi.
“Wenzetu wakiwa katika majonzi nasi...