Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIBANI NYUMBANI KWA BWANA NA BI KIBODYA SPRINGFIELD.MA


Mke wa Bwana Kibodya akiwa mwenye udhuni baada ya kuondoewa na baba yake mpendwa huko Tanzania, Hapa ni nyumbani kwa Bwana na Bi Kibodya  Vail St, Springfield jana jioni ndugu, jamaa na marafiki walifika kutoa mkono wa pole kwa wafiwa huko.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.


Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.




 

10 years ago

GPL

MAJONZI MSIBANI NYUMBANI KWA KOMBA

Makazi ya marehemu John Komba, Mbezi Tangi Bovu jijini Dar ...waombolezaji wakilia kwa uchungu nyumbani kwa marehemu…

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA KWENYE DUA YA KUMUOMBEA BABA MZAZI WA MKE WA BWANA KIBODYA MZEE ABBAS K. MANG'ULO

Bwana Kibodya katikati wakati wa dua ya kumuombea baba mkwe wake mzee Abbas K. Mang'ulo aliefariki huko Tanzania wiki iliyopita. Dua hiyo iliyofanyika Masjid Al Baqi 148 Fort Pleasant Avenue, Springfield, Mass na kuudhuliwa na dungu pamoja na marafiki kutoka Miji ya Boston, New York, New Jersey na Springfield yenyewe.Huyu hapa ni Bwana Kibodya akitanguliza shukrani kwa niaba ya mke wake mbele ya watu waliojitokeza kwenye dua hiyo.Khajat Swalha Kibodya, mke wa bwana Isaac Kibodya akionekana...

 

11 years ago

GPL

MATUKIO 4 MSIBANI KWA TYSON

Stori: Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
MWILI wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ usiku wa Jumanne iliyopita ulifikishwa nyumbani kwake Mbezi Makonde jijini Dar kwa ajili ya ndugu zake ambao kesho yake (Jumatano) wasingeweza kufika Viwanja vya Leaders Club kuuaga, wafanye hivyo. Aliyekuwa mke wa marehemu, George Otieno ‘Tyson’, Yvone Cherryl ‘Monalisa’akilia kwa uchungu. Ijumaa...

 

11 years ago

GPL

JK MSIBANI KWA MZEE SMALL

Rais Jakaya Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Mzee Small eneo la Tabata, Mawenzi Dar kuwapa pole wafiwa. Kulia ni Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba. Msanii mkongwe wa maigizo, Mashaka akiwa msibani na Zamaradi Mketema.…

 

9 years ago

Vijimambo

KISOMO CHA MZEE ABASS KHALFAN MANG'ULO SPRINGFIELD, MASASACHUSETTS

 Kushoto ni mkuu wa Wilaya Springfield Isaac Kibodya akiwa kwenye arubaini ya kisomo cha baba mkwe wake marehemu mzee Abass Khalfan Mang'ula kilichofanyika Springfield, Massachusetts katika msikiti wa Al Baqi uliopo mtaa wa Fort Pleasant. Kulia ni moja ya Watanzania waliojumuika na familia hiyo kwenye kisomo hicho. Kisomo cha arubaini ya marehemu mzee Abass Khalfan Mang'ula ikiendelea. Watanzania wakijumuika pamoja na familia ya Kibodya kwenye arubaini ya marehemu mzee Abass Khalfan...

 

11 years ago

GPL

KINACHOENDELEA MSIBANI KWA MZEE SMALL, TABATA

Waombolezaji wakiwa msibani kwa Mzee Small, Tabata jijini Dar.…

 

11 years ago

GPL

KIPINDI MAALUM: MSIBANI KWA MAALIM GURUMO

GLOBAL TV ONLINE ilipotembelea msibani kwa marehemu Muhidin 'Maalim' Gurumo huko Mabibo, Makuburi jijini Dar es Salaam na kuongea na wanafamilia akiwemo mke wa marehemu Bi.Pili Said. (Video na Patrick Buzohera /…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA MZEE SMALL

Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam. Dada ya marehemu Mzee Small, Sauda Ngamba akiwa na majonzi baada ya kuondokewa na kaka yake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani