Matumaini ya tiba ya ubongo!
Wataalam wa utafiti na wagonjwa wanasubiri kwa hamu matokeo ya utafiti wa tiba inayoweza kutibu maradhi ya ubongo (Alzheimer)
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Makengeza: Tatizo la ubongo lenye tiba ila jamii inapuuzia
Makengeza ni tatizo la kiafya linalowapata watu wa rika zote yaani watoto, vijana na watu wazima. Inakadiriwa kuwa kati ya asilimia 4 na 6 ya watoto wote wanaozaliwa, huwa na tatizo la makengeza.
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Tendo la ndoa; Tiba mbadala ya maradhi ya moyo, ubongo, maumivu ya kichwa?
>Ingawa tendo la ndoa lisipofanywa kwa kuzingatia kanuni na taratibu, sambamba na umakini, linaweza kusababisha maradhi, lakini kwa wanandoa, tendo hilo linatajwa kuwa na manufaa mengi kiafya tofauti na faraja ya kawaida iliyozoeleka kwa wengi.
10 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE NA HUDUMA ZA JAMII YATEMBELEA TAASISI YA TIBA YA MIFUPA , UPASUAJI WA UBONGO NA MISHIPA YA FAHAMU (MOI)
9 years ago
StarTV15 Aug
Ukosefu wa vifaa tiba hospitali wachangia watu kutumia tiba za jadi.
Ongezeko la ugonjwa wa Malaria na U.T.I kwa wananchi wanaoishi vijijini na idadi ndogo ya madaktari nchini ni baadhi ya sababu zinazochangia kwa kiasi kikubwa wagonjwa wengi kukimbilia kwa waganga wa tiba za jadi kupata matibabu licha ya magonjwa hayo kuwa na tiba za uhakika Hospitali na kwenye vituo vya Afya.
Tiba ya Asili ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2002 baada ya sheria namba 23 ya Tiba Mbadala kupitishwa.
Katika Kituo cha Afya cha Jamii Mjini Kahama,...
11 years ago
Mwananchi31 Jan
TIBA MBADALA: Kunywa maji ya moto ni tiba ya magonjwa mengi
>Kuna tiba nyingi za kitabibu, zilizogawanyikaa katika makundi mbalimbali. Kuna zile za hospitali ambazo ni lazima zinunuliwe, lakini kuna tiba ambazo kwa ushauri wa daktari hata wewe unaweza kuziandaa bila kutumia gharama kubwa.
10 years ago
GPLBARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah. Kutoka kushoto ni Kaimu Msajili wa tiba Asili Mboni Bakari, Mwenyekiti, Profesa Rogassian Mahunnah na Mfamasia Lucy Samweli. BARAZA hilo limesema halitambui vipindi na matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala yanayoendelea kwa sasa kwenye vyombo vya habari… ...
9 years ago
Michuzi24 Dec
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-gAeegCq5D4c/XlaivzbC0mI/AAAAAAACzg4/CSfqTNKV9HgeuoBwJbJIhqIMdkKNaqsbQCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2BA.jpg)
KIWANDA CHA VIFAA TIBA SIMIYU KUIPUNGUZIA MSD UAGIZAJI WA VIFAA TIBA NJE YA NCHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-gAeegCq5D4c/XlaivzbC0mI/AAAAAAACzg4/CSfqTNKV9HgeuoBwJbJIhqIMdkKNaqsbQCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2BA.jpg)
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Samaki afanyiwa upasuaji wa ubongo
Samaki aina ya Goldfish,anaendelea kupata nafuu baada ya kufanyiwa upasuaji kutolewa uvimbe kwenye ubongo wake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania