Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matumizi ya Kiswahili kufundisha Tanzania

Mwezi uliopita, Tanzania ilitangaza mipango mipya ya kuimarisha upya mfumo wa elimu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Matumizi ya Kiswahili sanifu

Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Baadhi ya waandishi wanaosoma makala zangu  wamefanikiwa kuepuka makosa waliozoea kufanya. Ni matumaini yangu kuwa na wewe msomaji wangu mgeni, unatakiwa kuwa na moyo wa kupenda kujiendeleza  ili ujiimarishe na kushamiri zaidi na uwe mfano wa kuigwa

 

9 years ago

Mwananchi

Matumizi sahihi ya Kiswahili

Ni kawaida kwa mwandishi kuandika makala zake ili kuielimisha, kuiburudisha au kuielekeza jamii  kwa lengo la kuleta mabadiliko. Ili kumwezesha kutekeleza jukumu hili kwa usahihi, mwandishi anapaswa kutumia lugha rahisi na inayozingatia misingi ya sarufi na fasihi.

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yasisitiza matumizi sahihi ya Kiswahili


Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma.

Katika hali ya kawaida herufi huunda neno na maneno huunda sentensi nayo sentensi huunda kikundi cha maneno. Kwa kawaida neno ni tamko mojawapo miongoni mwa mengi ambalo mtu hulitamka katika mchakato wa mazungumzo unaopelekea iwepo misemo ambayo ni fungu la maneno yenye maana mahususi ili kutoa fundisho kwa jamii.

Kwa mantiki hiyo, semi ni maneno yanayozungumzwa na watu yanayoleta maana mahususi katika lugha inayozungumzwa katika eneo fulani. Kiswahili ikiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiswahili na janga la matumizi yake nchini

Hivi karibuni, nilikuwa nafuatilia kipindi cha ‘Lulu za Kiswahili’, kinachoendeshwa na kituo cha televisheni cha Taifa (TBC1).

 

9 years ago

StarTV

Matumizi Ya Kiswahili ZINDUKA yataka kitumike kwenye mijadala Afrika Mashariki

 

Jumuiko la makundi mbalimbali ya kijamii kutoka nchi za Afrika Mashariki kupitia umoja wao unaojulikana kama “ZINDUKA”,limekuja na mapendekezo ya kutaka matumizi rasmi ya lugha ya Kiswahili, katika mijadala na mikutano yote ya jumuiya ya Afrika mashariki.

Katika uwasilishwaji wa mapendekezo kutoka katika kusanyiko hilo la “ZINDUKA” lililokuwa likifanyika Jijini Arusha, ni kwamba Kiswahili hakijapewa uzito unaostahili ndani ya Afrika Mashariki.

Mmoja wa wasilishaji wa mapendekezo hayo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mradi wa majaribio wa kufundisha masomo ya sayansi wa UNESCO waneemesha Tanzania

DSC_0018

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akisoma risala ya kufungwa kwa mradi huo ambao uliojulikana kama Micro Science Kits (MSKs) kwa wadau wa elimu, wakuu wa shule mbalimbali, maafisa elimu na maofisa wa serikali kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za  shirika hilo jijini Dar.

Na Mwandishi wetu

MRADI wa miaka minne wa kusaidia ufundishaji wa masomo ya sayansi kwa kufanikisha majaribio ya maabara...

 

10 years ago

GPL

MRADI WA MAJARIBIO WA KUFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI WA UNESCO WANEEMESHA TANZANIA‏

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akisoma risala ya kufungwa kwa mradi huo ambao uliojulikana kama Micro Science Kits (MSKs) kwa wadau wa elimu, wakuu wa shule mbalimbali, maafisa elimu na maofisa wa serikali kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za shirika hilo jijini Dar.   Pichani juu na chini ni baadhi ya wadau wa elimu, wakuu...

 

9 years ago

Mwananchi

Magwiji wa Kiswahili Tanzania

Wakati Watanzania wanaelekea katika Uchaguzi Mkuu ujao, tunashuhudia pilikapilika nyingi za wanasiasa  wanaozungumzia  maendeleo ya taifa hili katika elimu, siasa, uchumi, afya, mawasiliano, nk. Kila chama cha siasa kimetayarisha vipaumbele vyake ambavyo vinalenga kuboresha maisha ya wananch

 

11 years ago

Mwananchi

KISWAHILI KWA WANAFUNZI: Ngeli tisa za Kiswahili na upatanisho wa kisarufi

Ngeli ni vikundi vya majina ya Kiswahili. Ngeli za nomino ni utaratibu unaotumika kuweka nomino katika matabaka au makundi yanayofanana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani