Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matumizi ya Kiswahili sanifu

Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Baadhi ya waandishi wanaosoma makala zangu  wamefanikiwa kuepuka makosa waliozoea kufanya. Ni matumaini yangu kuwa na wewe msomaji wangu mgeni, unatakiwa kuwa na moyo wa kupenda kujiendeleza  ili ujiimarishe na kushamiri zaidi na uwe mfano wa kuigwa

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Lugha sanifu ya Kiswahili.

Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Wanaosoma makala haya baadhi wamefanikiwa kuepuka makosa yao. Ni matumaini yangu kuwa moyo wa kupenda kujiendeleza uendelee kuimarika na kushamiri kwa lengo la kuwa mfano wa kuigwa kwa waandishi wengin

 

9 years ago

Mwananchi

Kiswahili sanifu na fasaha

Mnamo mwaka 1968 Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema kuwa elimu inayotolewa haina budi kumchochea mtu kuwa na mambo yafuatayo: Kwanza ni kuwa na akili yenye udadisi wa mambo. Pili ni kuwa na uwezo wa kujifunza kutokana na yale yanayofanywa na wengine. Tatu ni kujiamini kama mtu huru aliye sawa na wengine katika jamii. Nne ni kuthaminiwa na wenzake kutokana na matendo yake na wala siyo kile alichonacho.

 

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili Sanifu

Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Wanaosoma makala haya baadhi wamefanikiwa kuepuka makosa yao. Ni matumaini yangu kuwa moyo wa kupenda kujiendeleza uendelee kuimarika na kushamiri kwa lengo la kuwa mfano wa kuigwa kwa waandishi wengine.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je inawezekana kuwa na kiswahili sanifu?

Changamoto za kuwa na kiswahili sanifu .Je Inawezekana kuwa na kiswahili sanifu kwa mataifa yote ya Afrika mashariki?

 

9 years ago

Mwananchi

Matumizi sahihi ya Kiswahili

Ni kawaida kwa mwandishi kuandika makala zake ili kuielimisha, kuiburudisha au kuielekeza jamii  kwa lengo la kuleta mabadiliko. Ili kumwezesha kutekeleza jukumu hili kwa usahihi, mwandishi anapaswa kutumia lugha rahisi na inayozingatia misingi ya sarufi na fasihi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matumizi ya Kiswahili kufundisha Tanzania

Mwezi uliopita, Tanzania ilitangaza mipango mipya ya kuimarisha upya mfumo wa elimu.

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yasisitiza matumizi sahihi ya Kiswahili


Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma.

Katika hali ya kawaida herufi huunda neno na maneno huunda sentensi nayo sentensi huunda kikundi cha maneno. Kwa kawaida neno ni tamko mojawapo miongoni mwa mengi ambalo mtu hulitamka katika mchakato wa mazungumzo unaopelekea iwepo misemo ambayo ni fungu la maneno yenye maana mahususi ili kutoa fundisho kwa jamii.

Kwa mantiki hiyo, semi ni maneno yanayozungumzwa na watu yanayoleta maana mahususi katika lugha inayozungumzwa katika eneo fulani. Kiswahili ikiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiswahili na janga la matumizi yake nchini

Hivi karibuni, nilikuwa nafuatilia kipindi cha ‘Lulu za Kiswahili’, kinachoendeshwa na kituo cha televisheni cha Taifa (TBC1).

 

9 years ago

StarTV

Matumizi Ya Kiswahili ZINDUKA yataka kitumike kwenye mijadala Afrika Mashariki

 

Jumuiko la makundi mbalimbali ya kijamii kutoka nchi za Afrika Mashariki kupitia umoja wao unaojulikana kama “ZINDUKA”,limekuja na mapendekezo ya kutaka matumizi rasmi ya lugha ya Kiswahili, katika mijadala na mikutano yote ya jumuiya ya Afrika mashariki.

Katika uwasilishwaji wa mapendekezo kutoka katika kusanyiko hilo la “ZINDUKA” lililokuwa likifanyika Jijini Arusha, ni kwamba Kiswahili hakijapewa uzito unaostahili ndani ya Afrika Mashariki.

Mmoja wa wasilishaji wa mapendekezo hayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani