Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je inawezekana kuwa na kiswahili sanifu?

Changamoto za kuwa na kiswahili sanifu .Je Inawezekana kuwa na kiswahili sanifu kwa mataifa yote ya Afrika mashariki?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Matumizi ya Kiswahili sanifu

Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Baadhi ya waandishi wanaosoma makala zangu  wamefanikiwa kuepuka makosa waliozoea kufanya. Ni matumaini yangu kuwa na wewe msomaji wangu mgeni, unatakiwa kuwa na moyo wa kupenda kujiendeleza  ili ujiimarishe na kushamiri zaidi na uwe mfano wa kuigwa

 

9 years ago

Mwananchi

Kiswahili sanifu na fasaha

Mnamo mwaka 1968 Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema kuwa elimu inayotolewa haina budi kumchochea mtu kuwa na mambo yafuatayo: Kwanza ni kuwa na akili yenye udadisi wa mambo. Pili ni kuwa na uwezo wa kujifunza kutokana na yale yanayofanywa na wengine. Tatu ni kujiamini kama mtu huru aliye sawa na wengine katika jamii. Nne ni kuthaminiwa na wenzake kutokana na matendo yake na wala siyo kile alichonacho.

 

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili Sanifu

Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Wanaosoma makala haya baadhi wamefanikiwa kuepuka makosa yao. Ni matumaini yangu kuwa moyo wa kupenda kujiendeleza uendelee kuimarika na kushamiri kwa lengo la kuwa mfano wa kuigwa kwa waandishi wengine.

 

9 years ago

Mwananchi

Lugha sanifu ya Kiswahili.

Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Wanaosoma makala haya baadhi wamefanikiwa kuepuka makosa yao. Ni matumaini yangu kuwa moyo wa kupenda kujiendeleza uendelee kuimarika na kushamiri kwa lengo la kuwa mfano wa kuigwa kwa waandishi wengin

 

11 years ago

Tanzania Daima

Inawezekana kuwa na thamani katika jamii

KATIKA maisha, vijana wengi tunatamani kuwa na kiu ya mafanikio au  kuleta mabadiliko pale tulipo. Lakini ni wachache ambao wameweza kufanikisha malengo yao na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Japokuwa...

 

5 years ago

Michuzi

Katikati ya janga la COVID-19, Dunia imejifunza kuwa inawezekana kutuajiri bila kututoa nyumbani

Na Paul R.K Mashauri 
Kwa tathmini  yangu ya haraka, kwa sasa takribani 80% ya rafiki zangu katika "corporate world" wanafanyia kazi nyumbani. Miaka michache iliyopita hata kabla ya COVID-19 takwimu za New York Times zilikuwa zinaonyesha kwamba idadi ya watu wanaofanya kazi zao nje ya ofisi (nyumbani, katika migahawa nk) kwa lugha ya kitaalam "remote workers" ilikuwa ni 3% tu. Lakini idadi hiyo ilikuwa imekuwa kwa ongezeko la 80%. Sina takwimu za sasa baada ya janga la COVID-19 lakini...

 

10 years ago

Mwananchi

Ushahidi kuwa Kiswahili ni lugha ya Kibantu

Huu ni mwendelezo wa mada kuhusu asili ya lugha ya Kiswahili. Moja ya madai ya wasomi ni kuwa lugha hii ina asili ya Kibantu na ndiyo mtazamo unaoshikiliwa na wasomi wengi wa lugha.Kuna vigezo vingi vinavyotumiwa na wataalamu kuthibitisha dai hili. Moja ya vigezo hivyo ni kile cha kiisimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Tuelimishane kuwa walimu bora wa Kiswahili

Yako mawasiliano ambayo yamejitokeza kuhusu uandishi wa makala na habari katika magazeti.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mtembea peku ashinikiza Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia

MJADALA wa lugha ya kuundishia umejadiliwa kwa kirefu katika ngazi zote za elimu na taasisi zake, wataalamu wa lugha, wahadhiri na walimu katika ngazi ya msingi na sekondari wanajadili na mwafaka haujapatikana.

Richard Ricardo maarufu Father Pekupeku kutokana na tabia yake ya kutovaa viatu naye anaishawishi serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iridhie Kiswaili kuwa lugha ya kufundishia kama yalivyo mataifa mengine yanavyotumia lugha zao za taifa katika elimu.

Huyu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani