Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katikati ya janga la COVID-19, Dunia imejifunza kuwa inawezekana kutuajiri bila kututoa nyumbani

Na Paul R.K Mashauri 
Kwa tathmini  yangu ya haraka, kwa sasa takribani 80% ya rafiki zangu katika "corporate world" wanafanyia kazi nyumbani. Miaka michache iliyopita hata kabla ya COVID-19 takwimu za New York Times zilikuwa zinaonyesha kwamba idadi ya watu wanaofanya kazi zao nje ya ofisi (nyumbani, katika migahawa nk) kwa lugha ya kitaalam "remote workers" ilikuwa ni 3% tu. Lakini idadi hiyo ilikuwa imekuwa kwa ongezeko la 80%. Sina takwimu za sasa baada ya janga la COVID-19 lakini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UNESCO imeonyesha kuwa asilimia 40 ya nchi maskini zaidi haziwasaidii wanafunzi walio katika hatari wakati huu wa janga la COVID-19

Chini ya asilimia 10 ya nchi zina sheria zinazosaidia kuhakikisha ujumuishaji kamili katika elimu, kwa mujibu wa Ripoti ya Dunia ya Ufuatiliaji wa Elimu 2020: Ujumuishaji na Elimu – Tukisema wote, Basi ni Wote, kutoka UNESCO.
Ripoti hii inatoa uchanganuzi wa kina kuhusu vipengele msingi vya utengaji wa wanafunzi katika mifumo ya elimu ulimwenguni vikiwemo mahali walimotoka, utambulisho na uwezo (yaani, jinsia, umri, mahali walimotoka, umaskini, ulemavu, kabila, asili, lugha, dini, hali ya...

 

5 years ago

Michuzi

MONDULI BILA CORONA INAWEZEKANA


Mkuu wa wilaya ya Monduli Idd Kimanta akipokea Ndoo Mia mbili na vitakasa mikono lita 140 kutoka kwa kiongozi wa baraza la kinamama wa kifugaji kwenye halfa iliyofanyika kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo leo wilayani humo picha na Ahmed Mahmoud Arusha.

Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Monduli Stephen Ulaya aliposhiriki halfa ya kukabidhiwa vifaa vya mapambano ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa Kali ya mapafu Covid 19 leo wilayani humo picha na Ahmed Mahmoud Arusha...

 

10 years ago

Mwananchi

Inawezekana kukuza kipaji bila kubebwa

Wakati baadhi ya wasanii chipukizi na hasa katika tasnia ya Bongofleva hapa nchini wakilalamika kuwa msanii huyo hawezi kukuza kipaji chake bila kubebwa na wasanii wakubwa,wapo ambao wanapingana na nadharia hiyo.na bila kupata ‘kiki’ kutoka kwa wasanii wakubwa.

 

10 years ago

Michuzi

Kishapu bila Maafa ya Ukame inawezekana - Mutagurwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Bi.Jane Mutagurwa akiwasisitiza Wataalam katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wa kata ya Mwamalasa, Masanga na Langana Wilayani Kishapu wakati akifungua mafunzo ya jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika kata zao, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa kwa Tarehe 1-5 Septemba, 2014. (Kulia) ni Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je inawezekana kuwa na kiswahili sanifu?

Changamoto za kuwa na kiswahili sanifu .Je Inawezekana kuwa na kiswahili sanifu kwa mataifa yote ya Afrika mashariki?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Inawezekana kuwa na thamani katika jamii

KATIKA maisha, vijana wengi tunatamani kuwa na kiu ya mafanikio au  kuleta mabadiliko pale tulipo. Lakini ni wachache ambao wameweza kufanikisha malengo yao na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Japokuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

EBOLA NI JANGA LA DUNIA

Kasisi wa Hispania ambaye aliambukizwa virusi vya Ebola nchini Liberia akisafirishwa kwenda kupata matibabu nchi mwao.
Kwa kuongezeka kwa idadi ya vifo na ugonjwa kuendelea kusambaa, harakati za kutafuta tiba ya Ebola zinaendelea.

Wataalam tayari wanajua mengi kuhusu virusi hivi na namna vinavyoshambulia, lakini kupambana navyo kwa kutumia dawa ni jambo jipya.

Tangu Ebola ilivyobainika mwaka 1976, kila mlipuko umekuwa ukidhibitiwa kwa masharti ya hali ya juu kuhusu usafi-kutengwa kwa wagonjwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Janga la mihadarati lakera dunia

Mawaziri kutoka maeneo mbalimbali duniani wanakutana katika makao ya UN mjini Vienna kuzungumzia njia za kupambana dawa za kulevya.

 

11 years ago

BBCSwahili

WHO kuamua Ebola janga la dunia

Shirika la afya ulimwenguni wanakutana Geneva Uswis kuamua iwapo Ebola kuwa janga la barani Afrika na dharura ya dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani