Janga la mihadarati lakera dunia
Mawaziri kutoka maeneo mbalimbali duniani wanakutana katika makao ya UN mjini Vienna kuzungumzia njia za kupambana dawa za kulevya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo17 Oct
EBOLA NI JANGA LA DUNIA
Kwa kuongezeka kwa idadi ya vifo na ugonjwa kuendelea kusambaa, harakati za kutafuta tiba ya Ebola zinaendelea.
Wataalam tayari wanajua mengi kuhusu virusi hivi na namna vinavyoshambulia, lakini kupambana navyo kwa kutumia dawa ni jambo jipya.
Tangu Ebola ilivyobainika mwaka 1976, kila mlipuko umekuwa ukidhibitiwa kwa masharti ya hali ya juu kuhusu usafi-kutengwa kwa wagonjwa...
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
WHO kuamua Ebola janga la dunia
10 years ago
Dewji Blog13 Jan
Ukosefu wa kazi kwa vijana ni janga la dunia
Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan akionyesha gazeti la “Tuwasiliane” linalochapishwa na UTPC na kusambazwa kwa wadau na maeneo mbalimbali ya jijini Mwanza kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez aliyetembelea makao ya ofisi hizo kwa ajili ya mazungumzo na kuboresha ushirikiano baina ya Umoja wa Mataifa Umoja huo wa vilabu vya waandishi wa...
10 years ago
GPLUKOSEFU WA KAZI KWA VIJANA NI JANGA LA DUNIA
5 years ago
BBCSwahili25 Feb
Corona Virus:Dunia lazima ijiandae kwa janga, WHO yasema
5 years ago
MichuziKatikati ya janga la COVID-19, Dunia imejifunza kuwa inawezekana kutuajiri bila kututoa nyumbani
Kwa tathmini yangu ya haraka, kwa sasa takribani 80% ya rafiki zangu katika "corporate world" wanafanyia kazi nyumbani. Miaka michache iliyopita hata kabla ya COVID-19 takwimu za New York Times zilikuwa zinaonyesha kwamba idadi ya watu wanaofanya kazi zao nje ya ofisi (nyumbani, katika migahawa nk) kwa lugha ya kitaalam "remote workers" ilikuwa ni 3% tu. Lakini idadi hiyo ilikuwa imekuwa kwa ongezeko la 80%. Sina takwimu za sasa baada ya janga la COVID-19 lakini...
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Wanawake waathiriwa na mihadarati TZ
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Tanzania uchochoro wa mihadarati
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Mihadarati:Mwanamfalme wa Saudia akamatwa