MONDULI BILA CORONA INAWEZEKANA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ogyhjqYXabk/XrAuqUEitYI/AAAAAAAAJSc/mWlwy5Ys3FwAbjgoe2qKJjptgzRGSU7hQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200504-WA0075.jpg)
Mkuu wa wilaya ya Monduli Idd Kimanta akipokea Ndoo Mia mbili na vitakasa mikono lita 140 kutoka kwa kiongozi wa baraza la kinamama wa kifugaji kwenye halfa iliyofanyika kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo leo wilayani humo picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Monduli Stephen Ulaya aliposhiriki halfa ya kukabidhiwa vifaa vya mapambano ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa Kali ya mapafu Covid 19 leo wilayani humo picha na Ahmed Mahmoud Arusha...
Michuzi