Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiswahili sanifu na fasaha

Mnamo mwaka 1968 Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema kuwa elimu inayotolewa haina budi kumchochea mtu kuwa na mambo yafuatayo: Kwanza ni kuwa na akili yenye udadisi wa mambo. Pili ni kuwa na uwezo wa kujifunza kutokana na yale yanayofanywa na wengine. Tatu ni kujiamini kama mtu huru aliye sawa na wengine katika jamii. Nne ni kuthaminiwa na wenzake kutokana na matendo yake na wala siyo kile alichonacho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili Fasaha

Ningependa kuwauliza wasomaji wangu  kwa nini waandishi hawazingatii maelekezo na maoni  yanayotolewa mara kwa mara katika gazeti hili kuhusu uandishi bora. Inawezekana kuwa baadhi ya waandishi hawa hawasomi makala zangu ama hawayaelewi au hawapendi kujifunza. Hata hivyo, hatutakata tamaa kwani taaluma ya saikolojia inadai kuwa wako watu wenye vichwa vigumu kuelewa jambo na wako wengine wepesi kukubali mabadiliko.

 

9 years ago

Mwananchi

Misingi ya Kiswahili Fasaha

Kwa bahati mbaya sana wanaosoma makala zangu na kuleta mrejesho ni wasomaji wachache tena ni wa kawaida tu. Hajatokea mwandishi wa magazeti au hata mhariri anayejali kusoma kwa makini ili kutoa maoni yake kwa lengo la kuyakosoa maoni ninayotoa kwa lengo la kuchangia mawazo. Makosa mengi ninayoyaona yanajirudia mara wa mara na hata baada ya kuyatolea ufafanuzi sijaona maendeleo yanayojitokeza. Hii ni dalili tosha kuwa baadhi ya waandishi na watangazaji hawasomi maoni haya na kama wanasoma...

 

11 years ago

Mwananchi

Kiswahili fasaha kitumike Bunge la Katiba, siyo ‘Kiswanglish’

Hivi karibuni Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba (jina limehifadhiwa) aliwahi kuhojiwa na mwandishi wa makala haya kuhusu matarajio ya Watanzania kuhusu Katiba Mpya na matumizi ya Kiswahili.

 

9 years ago

Mwananchi

Lugha sanifu ya Kiswahili.

Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Wanaosoma makala haya baadhi wamefanikiwa kuepuka makosa yao. Ni matumaini yangu kuwa moyo wa kupenda kujiendeleza uendelee kuimarika na kushamiri kwa lengo la kuwa mfano wa kuigwa kwa waandishi wengin

 

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili Sanifu

Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Wanaosoma makala haya baadhi wamefanikiwa kuepuka makosa yao. Ni matumaini yangu kuwa moyo wa kupenda kujiendeleza uendelee kuimarika na kushamiri kwa lengo la kuwa mfano wa kuigwa kwa waandishi wengine.

 

9 years ago

Mwananchi

Matumizi ya Kiswahili sanifu

Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Baadhi ya waandishi wanaosoma makala zangu  wamefanikiwa kuepuka makosa waliozoea kufanya. Ni matumaini yangu kuwa na wewe msomaji wangu mgeni, unatakiwa kuwa na moyo wa kupenda kujiendeleza  ili ujiimarishe na kushamiri zaidi na uwe mfano wa kuigwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Je inawezekana kuwa na kiswahili sanifu?

Changamoto za kuwa na kiswahili sanifu .Je Inawezekana kuwa na kiswahili sanifu kwa mataifa yote ya Afrika mashariki?

 

10 years ago

Habarileo

Mafundi sanifu 10,000 kupata ajira Tamisemi

WIZARA ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imepata kibali kutoka menejimenti ya utumishi wa umma wa kuajiri mafundi sanifu zaidi ya 10,000 watakaosaidia uendeshaji wa maabara katika shule mbalimbali za sekondari nchini.

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNDI SANIFU (TEMESA) WAFUNDWA KUHUSU USIMAMIZI NA UKAGUZI WA MAZINGIRA, MOROGORO

Mkurugenzi wa Idara ya Tathmini ya Athari ya Mazingira kutoka Baraza la Taifa la kuhifadhi Mazingira (NEMC), Eng. Ignance Mchallo akielezea kuhusu Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004 kwa mafundi sanifu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA. Mafundi Sanifu wakifanya tathmini na ukaguzi wa mazingira katika karakana ya TEMESA mjini Morogoro wakati wakiwa katika mafunzo ya tathmini, usimamizi na ukaguzi wa mazingira. Ofisa Manunuzi wa Wizara ya Ujenzi, Bw. Shukuru Sikunjema akipokea cheti kutoka kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani