Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Misingi ya Kiswahili Fasaha

Kwa bahati mbaya sana wanaosoma makala zangu na kuleta mrejesho ni wasomaji wachache tena ni wa kawaida tu. Hajatokea mwandishi wa magazeti au hata mhariri anayejali kusoma kwa makini ili kutoa maoni yake kwa lengo la kuyakosoa maoni ninayotoa kwa lengo la kuchangia mawazo. Makosa mengi ninayoyaona yanajirudia mara wa mara na hata baada ya kuyatolea ufafanuzi sijaona maendeleo yanayojitokeza. Hii ni dalili tosha kuwa baadhi ya waandishi na watangazaji hawasomi maoni haya na kama wanasoma...

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili Fasaha

Ningependa kuwauliza wasomaji wangu  kwa nini waandishi hawazingatii maelekezo na maoni  yanayotolewa mara kwa mara katika gazeti hili kuhusu uandishi bora. Inawezekana kuwa baadhi ya waandishi hawa hawasomi makala zangu ama hawayaelewi au hawapendi kujifunza. Hata hivyo, hatutakata tamaa kwani taaluma ya saikolojia inadai kuwa wako watu wenye vichwa vigumu kuelewa jambo na wako wengine wepesi kukubali mabadiliko.

 

9 years ago

Mwananchi

Kiswahili sanifu na fasaha

Mnamo mwaka 1968 Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema kuwa elimu inayotolewa haina budi kumchochea mtu kuwa na mambo yafuatayo: Kwanza ni kuwa na akili yenye udadisi wa mambo. Pili ni kuwa na uwezo wa kujifunza kutokana na yale yanayofanywa na wengine. Tatu ni kujiamini kama mtu huru aliye sawa na wengine katika jamii. Nne ni kuthaminiwa na wenzake kutokana na matendo yake na wala siyo kile alichonacho.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiswahili fasaha kitumike Bunge la Katiba, siyo ‘Kiswanglish’

Hivi karibuni Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba (jina limehifadhiwa) aliwahi kuhojiwa na mwandishi wa makala haya kuhusu matarajio ya Watanzania kuhusu Katiba Mpya na matumizi ya Kiswahili.

 

10 years ago

Mwananchi

Upotoshaji misingi ya Kiswahili

Ni vigumu kwa magazeti kutoka kiwandani bila kuwa na makosa ama ya kisarufi au ya tahajia. Hata hivyo ni muhimu kujitahidi kuyapunguza makosa hayo kwa kadiri iwezekanavyo.

 

11 years ago

Mwananchi

KISWAHILI KWA WANAFUNZI: Ngeli tisa za Kiswahili na upatanisho wa kisarufi

Ngeli ni vikundi vya majina ya Kiswahili. Ngeli za nomino ni utaratibu unaotumika kuweka nomino katika matabaka au makundi yanayofanana.

 

10 years ago

Vijimambo

DARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER

Image result for atc metro DMVJUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAWAKARIBISHA WATOTO WOTE KUSHIRIKI SIKU YA WHITE OAK CENTER ; SAA 5:00 ASUBUHU HADI SAA 8:00 MCHANA1700 April Lane, Silver Spring
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE  MINGINE .

KIINGILIO  BUREEEEE        











 

11 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA IRINGA WAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANAOSOMA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI, WATAKA KATIBA MPYA KISWAHILI KIPEWE NAFASI

Mlezi wa chama  cha Chawakama na mwalimu wa kiswahili chuo kikuu cha Iringa Tulla Tweve  akitambulisha  wageni Mmoja kati ya  viongozi akieleza malengo ya Chawakama Mwalimu Chalamila akieleza  maana ya lugha ya kiswahili Mwalimu wa kiswahili  chuo cha Iringa ambae ni msanii wa wimbo wa Mufindi yetu  akiburudisha Wanachama  wakicheza  na msanii  huyo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba limekiuka misingi

WANANCHI wote wanafuatilia mchakato wa kutengeneza Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tangu ulipoanza mwaka 2011. Wananchi wanajua fika kuwa kuandikwa kwa Katiba mpya ya taifa hili ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fuata misingi sio watu — 3

KATIKA mfululizo wa makala hizi za ZITTO KABWE zilizochapwa kwa mara ya kwanza katika gazeti hili miezi michache iliyopita, wiki iliyopita tumeona ufuasi wa misingi ya Chama cha Demorasia na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani