Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upotoshaji misingi ya Kiswahili

Ni vigumu kwa magazeti kutoka kiwandani bila kuwa na makosa ama ya kisarufi au ya tahajia. Hata hivyo ni muhimu kujitahidi kuyapunguza makosa hayo kwa kadiri iwezekanavyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Misingi ya Kiswahili Fasaha

Kwa bahati mbaya sana wanaosoma makala zangu na kuleta mrejesho ni wasomaji wachache tena ni wa kawaida tu. Hajatokea mwandishi wa magazeti au hata mhariri anayejali kusoma kwa makini ili kutoa maoni yake kwa lengo la kuyakosoa maoni ninayotoa kwa lengo la kuchangia mawazo. Makosa mengi ninayoyaona yanajirudia mara wa mara na hata baada ya kuyatolea ufafanuzi sijaona maendeleo yanayojitokeza. Hii ni dalili tosha kuwa baadhi ya waandishi na watangazaji hawasomi maoni haya na kama wanasoma...

 

10 years ago

Mwananchi

Upotoshaji matamshi, tahajia ya Kiswahili, unaweza kuepukwa

Katika makala yaliyotangulia, nilieleza juu ya hatua zilizochukuliwa na viongozi wa nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki(EAC) katika kukienzi Kiswahili.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri Mukangara ataka BAKITA kupunguza upotoshaji Kiswahili

Dk Fenella MukangaraWAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara ametaka Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), kushirikiana na vyombo vya habari kutoa elimu ya matumizi sahihi ya Kiswahili sanifu kupunguza upotoshaji.

 

11 years ago

Mwananchi

KISWAHILI KWA WANAFUNZI: Ngeli tisa za Kiswahili na upatanisho wa kisarufi

Ngeli ni vikundi vya majina ya Kiswahili. Ngeli za nomino ni utaratibu unaotumika kuweka nomino katika matabaka au makundi yanayofanana.

 

10 years ago

Vijimambo

DARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER

Image result for atc metro DMVJUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAWAKARIBISHA WATOTO WOTE KUSHIRIKI SIKU YA WHITE OAK CENTER ; SAA 5:00 ASUBUHU HADI SAA 8:00 MCHANA1700 April Lane, Silver Spring
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE  MINGINE .

KIINGILIO  BUREEEEE        











 

10 years ago

Vijimambo

UFAFANUZI WA UPOTOSHAJI WA HABARI.



Jumuiya haijafungwa. (Sio Terminated)

Naomba nifafanue.

Revocation inatokea pale annual filling zinapochelewa kuwa filed Au zinapokuwa hazikufailiwa.

Process na documentation sishafanyika kurectify that.

Jumuiya ipo na inaendelea nashughuli zake.

Ni masikitisho kutoka kwa watanzania wachache wa DMV wanao run na negatives instead of positives.

Iddi SandalyPresidentJumuiya ya Watanzania DMVDMV kwanza.

 

11 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA IRINGA WAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANAOSOMA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI, WATAKA KATIBA MPYA KISWAHILI KIPEWE NAFASI

Mlezi wa chama  cha Chawakama na mwalimu wa kiswahili chuo kikuu cha Iringa Tulla Tweve  akitambulisha  wageni Mmoja kati ya  viongozi akieleza malengo ya Chawakama Mwalimu Chalamila akieleza  maana ya lugha ya kiswahili Mwalimu wa kiswahili  chuo cha Iringa ambae ni msanii wa wimbo wa Mufindi yetu  akiburudisha Wanachama  wakicheza  na msanii  huyo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Atakiwa kukanusha kauli ya upotoshaji


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
CHAMA cha Maalbino Tanzania (TAS) mkoa wa Mbeya, kimemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mbeya mjini, John Mwambigija, kuwathitibitishia Watanzania kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinahusika na vifo vya watu wa jamii hiyo.
Katibu wa chama hicho mkoani hapa, William Simwali, alisema hayo jana wakati akizungumza na MZALENDO kuhusu kauli iliyotolewa na Mwambigija akiwa kwenye mkutano wa hadhara juu ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi.
Simwali alisema ni jambo la...

 

10 years ago

Habarileo

Upotoshaji wa takwimu wakwamisha maendeleo

Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango ya Zanzibar, Amina ShaabanUKOSEFU wa takwimu sahihi katika masuala mbalimbali umeelezwa kuchangia kutopiga hatua kwenye mipango ya kimaendeleo inayopangwa na serikali juu ya wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani