Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFAFANUZI WA UPOTOSHAJI WA HABARI.



Jumuiya haijafungwa. (Sio Terminated)

Naomba nifafanue.

Revocation inatokea pale annual filling zinapochelewa kuwa filed Au zinapokuwa hazikufailiwa.

Process na documentation sishafanyika kurectify that.

Jumuiya ipo na inaendelea nashughuli zake.

Ni masikitisho kutoka kwa watanzania wachache wa DMV wanao run na negatives instead of positives.

Iddi SandalyPresidentJumuiya ya Watanzania DMVDMV kwanza.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ufafanuzi kutoka REDET kuhusu takwimu iliyotolewa na baadhi ya vyombo vya habari

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIBaadhi ya vyombo vya habari katika taarifa zao zilizochapishwa katika matoleo yao ya Jumatatu tarehe 6 Julai, 2015 vimechapisha taarifa zinazohusu utafiti uliofanywa na REDET juu ya Maoni ya Wananchi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Utakaofanyika Oktoba 2015. Taarifa hizi zimesababisha wadau wengi hapa nchini kutaka ufafanuzi kutoka REDET. Kama ilivyo kawaida yake REDET imejijengea heshima na utamaduni wa kufanya kazi zake kwa misingi ya uwazi na ukweli. Kwa hali hii...

 

9 years ago

Dewji Blog

11 years ago

Michuzi

UONGOZI KILWA WATOA UFAFANUZI KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MCHANGO WA RASILIMALI ZA WILAYA HIYO

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu namna wilaya hiyo inavyoendelea kuboresha huduma za jamii kwa kutumia rasilimali mbalimbali zilizo katika wilaya hiyo.Kushoto ni diwani wa kata ya Kikole Mwl.Haji Mulike na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo Bw. Ali Mohamed Mtopa. Ramani ya hospitali ya kisasa yenye hadhi ya kimataifa itakayojengwa wilayani kilwa kwa nguvu za halmashauri na...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA CHUO CHA CBE ATOA UFAFANUZI KUHUSU HABARI ZILIZOCHAPISHWA KWA LENGO LA KUUPOTOSHA UMMA KUHUSU CHUO CHAKE

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu habari za upotoshaji zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya mitandao ya kijamii kuhusu chuo hicho, leo jijini Dar es salaam.
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.
Mkuu wa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema amesema kuwa habari zilizoandikwa na kuchapishwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya mitandao ya kijamii...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015 KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015
KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA
KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU
 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu tangazo lake lililotolewa kwenye vyombo vya habari tarehe 11 Septemba, 2015 kuhusu vipindi vinavyorushwa moja kwa moja wakati wa kampeni za uchaguzi
mkuu.  Ufafanuzi huu unatolewa kutokana na maoni...

 

10 years ago

Mwananchi

Upotoshaji misingi ya Kiswahili

Ni vigumu kwa magazeti kutoka kiwandani bila kuwa na makosa ama ya kisarufi au ya tahajia. Hata hivyo ni muhimu kujitahidi kuyapunguza makosa hayo kwa kadiri iwezekanavyo.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Atakiwa kukanusha kauli ya upotoshaji


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
CHAMA cha Maalbino Tanzania (TAS) mkoa wa Mbeya, kimemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mbeya mjini, John Mwambigija, kuwathitibitishia Watanzania kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinahusika na vifo vya watu wa jamii hiyo.
Katibu wa chama hicho mkoani hapa, William Simwali, alisema hayo jana wakati akizungumza na MZALENDO kuhusu kauli iliyotolewa na Mwambigija akiwa kwenye mkutano wa hadhara juu ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi.
Simwali alisema ni jambo la...

 

10 years ago

Habarileo

Upotoshaji wa takwimu wakwamisha maendeleo

Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango ya Zanzibar, Amina ShaabanUKOSEFU wa takwimu sahihi katika masuala mbalimbali umeelezwa kuchangia kutopiga hatua kwenye mipango ya kimaendeleo inayopangwa na serikali juu ya wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani