Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matuta yatawala robo fainali Sekondari Dar

MASHINDANO maalumu yanayozikutanisha shule 12 za sekondari za jijini Dar es Salaam yameingia nusu fainali kwa staili ya aina yake baada ya timu zote zilizotinga hatua hiyo kushinda kwa changamoto...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI KWA MATUTA

Wachezaji wa Brazil wakishangilia baada ya kushinda kwa penalti 3-2 dhidi ya Chile. ...Mashabiki  Brazil wakishangiia. Wachezaji wa timu ya…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Robo fainali Beach Soccer Dar kesho

MICHUANO ya mpira wa miguu wa ufukweni ‘Beach Soccer’ inayoendeshwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikishirikisha vyuo mbalimbali vya jijini Dar es Salaam imeingia hatua ya robo fainali. Robo...

 

5 years ago

Michuzi

SIMBA YATANGULIA ROBO FAINALI HATUA YA ROBO FAINAL MICHUANO YA AZAM SPORT FEDERATION CUP

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya Jamii
TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imefanikiwa kuingia hatua robo faina ya michuano ya Azam Sports Federation CUP baada ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Stand United.
Mchezo kati ya timu ya Simba na Stand United umepigwa katika dimba la Kambarage Shinyanga na hadi mpira huo unamaliza timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 na hivyo kuingia hatua ya matuta.
Hatua hiyo ya matuta iliiwezesha Simba kushinda penalt 3 -2 ambapo kwa...

 

10 years ago

Michuzi

NYAMLANI MGENI RASMI MASHINDANO YA ROBO FAINALI YAKWANZA YA MTEMVU CUP, DAR

Aliyekuwa Makamu wakwanza Rais wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan (mwenye tai) akikagua timu ya mpira ya  Mtoni na Azimio wakati wa mashindano ya robo fainali  ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam  Mtoni ilishinda mabao 4-3.  Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  akisalimia mmoja wa kiongozi wa timu hizo baada ya aliyekuwa  Makamu wakwanza Rais wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan kukagua timu zizo Dar...

 

9 years ago

Dewji Blog

Baada ya michezo ya robo fainali ya Capital One, hii ndiyo ratiba ya michezo ya nusu fainali

Capital-One-Cup-1

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Michezo ya robo fainali ya kombe la Capital One la nchini Wingereza linaloshirikisha ligi za Daraja la kwanza, pili na timu zinazoshiriki ligi kuu ya Wingereza imekamilika kwa timu nne kufuzu kuingia hatua ya nusu fainali.

Matokeo ya robo fainali ilikuwa hivi;

Everton 2 – 0 Middlesbrough

Manchester City 4 – 1 Hull City

Stoke City 2 – 0 Sheffield Wednesday

Southampton 1 – 6 Liverpool

Baada ya michezo hiyo, ratiba ya michezo ya nusu fainali ni kama...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mpambano wa robo fainali Brazil

Brazil dhidi ya Columbia, na Ujerumani ikikutana na Ufaransa. Ubelgiji dhidi ya Argentina na Uholanzi nao wanachuana na Costa Rica

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool yafuzu robo fainali ya FA

Mabingwa mara saba Liverpool walitoka nyuma na kuishinda Crystal Palace na kufuzu katika robo fainali ya kombe la FA.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yatinga robo fainali FA

Arsenal imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali na kukomesha safari ya Middlesbrough kwa kuifunga 2-0.

 

10 years ago

BBCSwahili

Robo Fainali FA ni Arsenal na Man.United

Miamba ya soka katika ligi kuu ya England Arsenal na Manchester United watamenyana katika robo fainali ya FA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani