Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maudhui ya kuiga yanaziangusha filamu

>Wadau wa filamu ndani na nje ya nchi wanasema kuwa uwezo wa waigizaji wa hapa nchini umekua kwa kuigiza filamu zinazoweza kushindana na soko la tasnia hiyo. Filamu nyingi zimekuwa za mafunzo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.

Lorietha Laurence -Maelezo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo  ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa  kwa kupata kibali cha kuingia sokoni  kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza  katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza  kampuni ya Al-Riyamy Production  ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za  TRA...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.

Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo akiongea na wahusijka wa Kampuni ya Kajala Entertainment wakati alipofanya nao mkutano leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa Sheria na Kanuni zilizokiukwa katika filamu ya Mbwa Mwitu.Mkurugenzi wa Kampuni ya Kajala Entertainment, Kajala Masanja akijitetea mbele ya Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania wakati aliitikia wito wa Ofisi ya Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuelezwa juu ya Sheria na Kanuni zilizokiukwa...

 

10 years ago

Habarileo

Maudhui ya Katiba kuchongea Ukawa

Sehemu ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba katika moja ya vikao vyakeMAUDHUI ya Katiba Inayopendekezwa kwa makundi makubwa ya Watanzania, yanatarajiwa kutumika kupambanisha kundi linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa wananchi, Bara na Visiwani.

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI

 Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania,Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na kutokuwa na stika za ushuru za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakielezea changamoto zao kuhusiana na filamu za kitanzania kulazimishwa kukaguliwa na bodi ya filamu na kuwekwa stika za TRA ilhali filamu za nje hazifanyiwi hivyo na kupelekea filamu za...

 

5 years ago

Michuzi

ALIYECHAPISHA MAUDHUI MTANDAONI BILA KIBALI AHUKUMIWA

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV.MFANYABIASHARA Obadia Kwitega, amehukumiwa kulipa faini ya shilingi Milioni tano ama kutumikia kifungo cha mwaka mmoja gerezani baada ya kukiri kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila ya kuwa na kibali.
Hukumu hiyo imesomwa leo Juni 3, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Janet  Mtega wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya mshtakiwa kuingia makubaliano na DPP na kukiri kosa lake hilo ambapo ametakiwa pia kulipa fidia ya sh. Milioni mbili.
Akisoma hukumu hiyo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwiba wa Bunge Maalumu si Ukawa bali maudhui ya rasimu

Wakati mchakato wa katiba unaanza, kulikuwa na mvutano mkubwa sana juu ya ushiriki wa wanasiasa katika mchakato mzima. Ni ndoto ya mchana kuona watu wanaonufaika na mfumo wanajadili na kupitisha mfumo utakaohatarisha uwepo wao madarakani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwenzi: Bingwa wa kuiga sauti — 2

KATIKA makala iliyotangulia, tuliona mambo mengi kuhusiana na ndege kwenzi, lakini tukaishia katika maelezo ya maeneo ambayo ndege hawa wanapatikana kwa wingi. Tuliona kuwa kwenzi ni ndege anayepatikana katika mazingira...

 

9 years ago

Mwananchi

Wazawa watakiwa kuiga China

Watanzania wametakiwa kujifunza masuala mbalimbali ya kibishara na ukuzaji wa viwanda kwa wawekezaji kutoka China.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuiga kwenu kunabomoa maadili yetu

'Nabembelezwa” ulikuwa ni moja ya nyimbo za Barnaba ambazo nilitokea kuzipenda sana. Lakini wimbo huo ilinikera pale video yake ilipotoka ikiwa na ‘Scene’ ambayo inawaonyesha watoto wa umri mdogo chini ya miaka saba wakipigana busu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani