Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwiba wa Bunge Maalumu si Ukawa bali maudhui ya rasimu

Wakati mchakato wa katiba unaanza, kulikuwa na mvutano mkubwa sana juu ya ushiriki wa wanasiasa katika mchakato mzima. Ni ndoto ya mchana kuona watu wanaonufaika na mfumo wanajadili na kupitisha mfumo utakaohatarisha uwepo wao madarakani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RASIMU ILIYOPENDEKEZWA BUNGE MAALUMU LA KATIBA‏

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta. BONYEZA HAPA KUSOMA==> RASIMU ILIYOPENDEKEZWA BUNGE MAALUMU LA…

 

11 years ago

Dewji Blog

Mahakama kuu: Bunge Maalumu la Katiba lizingatie rasimu

d6d21-jk1

Na Mwandishi wetu

Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Judges Augustine Mwarija, Aloysius Mujulizi na Dr Fauz Twaib imetoa uamuzi wake leo kufuatia maombi ya Saed Kubenea kama ifuatavyo;

1.Kuna mgongano mkubwa kati ya toleo la Kiswahili na Toleo la Kiingereza la kifungu cha 25 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.

2. Kwamba pamoja na mgongano huo, Sheria imekusudia kwamba Madaraka ya Bunge Maalum la Katiba yatatekelezwa kupitia Rasimu ya Tume ya maana yake kama ilivyowasilishwa...

 

11 years ago

Michuzi

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni za bunge maalumu wakijibu hoja za wabunge leo

 Mjumbe Mhe. Tundu Lissu akitoa ufafanuzi ya moja ya hoja zilizowekwa mezani na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa majadiliano ya rasimu za kanuni  Mjumbe Mhe Evod Mmanda akijibu hoja Mjumbe Mhe. George Simbachawene akitoa ufafanuzi.  Mjumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni  ambaye pia anatoka kundi la walemavu Mhe. Amon Anastaz Mpanju akijibu hoja za wabunge. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii

 

11 years ago

Habarileo

Maudhui ya Katiba kuchongea Ukawa

Sehemu ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba katika moja ya vikao vyakeMAUDHUI ya Katiba Inayopendekezwa kwa makundi makubwa ya Watanzania, yanatarajiwa kutumika kupambanisha kundi linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa wananchi, Bara na Visiwani.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa: Hatutakubali kujadili rasimu nyingine

Bunge Maalumu la Katiba sasa lipo katika hati hati ya kuendelea kutokana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutangaza kuwa hawatakuwa tayari kujadili rasimu tofauti na iliyowasilishwa na Jaji Joseph Warioba bungeni.

 

11 years ago

Vijimambo

Warioba: Nitaendelea kuitetea Rasimu, sitakimbilia Ukawa

Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema uamuzi wake wa kuitetea Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa bungeni na tume aliyoiongoza, pamoja na kauli yake ya juzi ya; ‘Tutakutana mtaani’, havimaanishi kwamba atakihama Chama Cha Mapinduzi (CCM).Jaji Warioba amesema jana kwamba baada ya kutoa kauli hiyo katika maadhimisho ya miaka 19 ya Kituo cha Sheria na Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), baadhi ya watu wakiwamo makada wa CCM wanaodhani kuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

47 watoswa viti maalumu CCM, Ukawa

Mchakato wa uteuzi wa wabunge wake wa viti maalumu wa Bunge la kumi na moja, umeacha simanzi kubwa baada ya orodha iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuonyesha kuwa wabunge 47 wametoswa katika vyama vya CCM, Chadema na CUF huku 33 wakipitishwa tena kuingia ‘mjengoni’.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani