Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maulid Kitenge amjulia hali Mdau Mwamad Maulanga alielazwa Moi baada ya kupata ajali

Mtangazaji wa Radio E FM 93.7,Maulid Kitenge akimjulia hali Mdau Mwamad Maulanga aliyelazwa Moi Muhimbili jijini Dar,baada ya kupata ajali katika eneo la Wami,mkoani Pwani wakati akiwa safarini kuelekea Mjini Moshi hivi karibuni. Hii ndio gari aliyokuwa akiitumia Mdau Mwamad Mwaulanga.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMJULIA HALI NA KUMPA POLE MEYA WA JIJI LA MBEYA MH ATHANAS KAPINGA BAADA YA KUPATA AJALI

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli akimjulia hali na kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya Mh.Athanas Kapunga aliyepata ajali wilayani Momba mkoani Mbeya wakati wa mbio za maandalizi ya Kampeni hivi karibuni,Mh Kapunga amelazwa kwenye chumba maalum cha wagonjwa  mahututi (ICU) katika hospitali ya Rufaa mjini humo. Mmoja wa Wauguzi walioko kwenye chumba maalum cha wagonjwa  mahututi (ICU),akimpa maelezo...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MDAU MAULID BARAKA WA KITENGE

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Mtangazaji nguli wa Michezo hapa nchini kupitia Radio EFM ya jijini Dar es salaam,Maulid Baraka wa Kitenge mwenye jezi nambari tisa mgongoni.Globu ya Jamii inamtakia kila la kheri mdau huyu katika siku yake hii na mwenyezi Mungu amjaalie maisha marefu.

 

11 years ago

Michuzi

Mpiganaji maulid wa kitenge ndani ya old trafford

 Mtangazaji wa michezo wa Radio One na ITV Maulid Kitenge akiwa na wachezaji nyota wa zamani wa Manchester United Quintin Fortune (chini)  na Bryan Robinson (juu) kwenye uwanja wa Old Trafford muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi ya Manchester United na Norwich City

 

11 years ago

Michuzi

Maulid Kitenge ndani ya BBC London

 Hivi ndivyo tunavyofanya kazi: Mtangazaji wa michezo ITV na Radio One Mailid Baraka wa Kitenge akipewa maelekezo na mtangazaji mkongwe Charles Hillary 'Tishio' jinsi wanavyotayarisha habari zao BBC alipotembelea ofisi za BBC leo.  "....Na hapo yale magoli ya off-side aliyofungwa Liverpool juzi unawezaje ku-replay.... "Haya hapa..."

 

10 years ago

GPL

MAULID KITENGE ATUA RADIO EFM RASMI

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo, Maulidi Baraka Kitenge akisaini mkataba wa kazi na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM, Dickson Ponela.…

 

10 years ago

Michuzi

Maulid Kitenge abwaga manyanga ITV na Radio one leo

MTANGAZAJI machachari wa habari za michezo kupitia kituo cha Televisheni cha ITV na Radio One, Maulid Baraka Kitenge (pichani) leo kupitia akaunti yake ya Twitter ametangaza rasmi kubwaga manyanga (kuacha kazi) katika Kampuni hiyo aliyokuwa akiifanyia kazi baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka 14. chini ni ujumbe wake aliouandika kupitia akaunti yake ya Twitter.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Maulid Kitenge aacha kazi Radio One na kujiunga na EFM

Mtangazaji mkongwe wa michezo kwenye kituo cha redio cha Radio One Stereo, Maulid Kitenge ameacha kazi na kwenye kituo hicho na kujiunga na kituo kipya cha redio, EFM. Kitenge akisaini mkatana wa kujiunga na EFM, kushoto ni Mkurugenzi wa Vipindi, Dickson ‘Dizzo’ Ponela Katika barua yake ya kujiuzulu, Kitenge ambaye amefanya kazi kwenye kituo hicho […]

 

10 years ago

Mwananchi

MAULID KITENGE : Simuigi tena Liongo, nina maisha yangu

Maulid Baraka wa Kitenge ni mtangazaji anayetajwa kuwamo kati ya walio bora, wanaotangaza vipindi vya michezo kwenye redio na televisheni nchini.

 

10 years ago

Michuzi

LEO NI HEPI BESDEI YA KUZALIWA MPIGANAJI MAULID BARAKA WAA KITENGE WA EFM

Leo ni Hepi Besdei ya Kuzaliwa mpiganaji Maulid Baraka wa Kitennge ambapo jezi yake namba 10 mgongoni anaivalia katika kituo cha EFM jijini Dar es salaam. Globu ya Jamii inampa hongera kwa siku yake hii muhimu na kumtakia apulize  mishumaa mingine 100, Insha Allah!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani