‘Mawakala wa vyama wapewe semina’
WAJUMBE wa Baraza la Amani mkoa Kigoma wameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwapa semina na maelekezo maalum mawakala wa vyama vya siasa ili kuondoa tofauti zinazojitokeza ambazo zinaweza kuvuruga uchaguzi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-cpf3131BG5s/UzPEl7KKcEI/AAAAAAAFWu0/ocrMsM_F2Zc/s72-c/1.jpg)
Semina ya mawakala wa shindano la Redd's miss Tz yafungwa Rasmi
![](http://2.bp.blogspot.com/-cpf3131BG5s/UzPEl7KKcEI/AAAAAAAFWu0/ocrMsM_F2Zc/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-SR7Ma-Jaeyo/UzPEnA0eHzI/AAAAAAAFWu8/Me1knMaQufI/s1600/4.jpg)
11 years ago
MichuziRWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE
![DSC_0143](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_01431.jpg)
9 years ago
Mwananchi02 Oct
Mawakala 72,000 kaa la moto vyama sita
Baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza idadi ya vituo vya kupigia kura kuwa 72,000, baadhi ya vyama vya siasa vimeonyesha wasiwasi wa kumudu gharama za kuweka mawakala katika kila kituo.
11 years ago
GPLRWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE
Meneja wa Rwanda Air, Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Meneja Mauzo wa Rwanda Air, Dhruv Parmar akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam.…
11 years ago
MichuziTume ya Uchaguzi yavitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kuwatumia mawakala kutoka ndani ya jimbo hilo
Akizungumza katika mkutano baina ya vyama vya siasa na tume hiyo,Mwenyekiti wa Tume hiyo,Jaji mstaafu Damiani Lubuva amesema kuwa pamoja na kuwa sheria haikatazi kwa vyama kuteua mawakala wa vyama kutoka majimbo mengine ya...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NmeW6D0qpME/VkMXVfBxHuI/AAAAAAABkBs/P-xBHZbVxeo/s72-c/IMG-20151111-WA0022%25281%2529.jpg)
NSSF WATOA SEMINA KWA WENYEVITI WA VYAMA VYA MSINGI (AMCOS) VYA WILAYA YA KILWA-LINDI
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi yaJamii(NSSF) limetoa Elimu kwa Wenyeviti na Makatibu wa Wakulima wa Korosho na Ufuta wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi kuhusu mpango wa Hifadhi ya Jamii kwa Wakulima, Mpango huo unamwezesha mkulima kupata mikopo mbalimbali ikiwemo mkopo wa vifaa vya kilimo pamoja na pembejeo za kilimo.
Aidha mpango huo unamwezesha mkulima na familia yake kufaidika na mafao mbalimbali yatolewayo na NSSF yakiwemo mafao ya matibabu ambapo mkulima atapata matibabu bure yeye na...
Aidha mpango huo unamwezesha mkulima na familia yake kufaidika na mafao mbalimbali yatolewayo na NSSF yakiwemo mafao ya matibabu ambapo mkulima atapata matibabu bure yeye na...
10 years ago
Michuzi27 Apr
11 years ago
Mwananchi24 Apr
Wawekezaji wa ndani wapewe kipaumbele
Katika kuhakikisha uwekezaji unapiga hatua nchini, Serikali imeshauriwa kuwapa kipaumbele wawekezaji wa ndani na kuacha kujali wa nje.
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Ataka mawaziri wapewe meno
>Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema ipo haja ya kubadili mfumo wa watendaji serikalini ili wanapoboronga nao wajibishwe na mawaziri.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania