Mawasiliano mapya kuunganisha Dar, Zanzibar
SERIKALI imezindua mradi wa njia mpya ya mawasiliano unaounganisha Dar es Salaam kwa upande mmoja na Unguja na Pemba kwa upande mwingine. Hatua hiyo sasa inafanya Zanzibar kuimarika kimawasiliano hasa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Oct
NSSF kuunganisha Dar — Zanzibar kwa daraja
BAADA ya ndoto ya kuziunganisha pande mbili za katikati ya Jiji la Dar es Salaam na Kigamboni kwa daraja lenye umbali wa meta 680, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linaangalia uwezekano wa kujenga daraja la kihistoria zaidi litakalounganisha Dar es Salaam na Zanzibar.
11 years ago
Habarileo18 Feb
Njia mpya ya mawasiliano Dar-Zanzibar yazinduliwa
SERIKALI imezindua njia mpya ya mawasiliano inayounganisha Dar es Salaam kwa upande mmoja na Unguja na Pemba kwa upande mwingine.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gUZqBZ9-Kpk/Xl1lxRuskfI/AAAAAAALgeQ/pmSkmuDTzcIrc3ttBUarqR-r-B-SP_cfACLcBGAsYHQ/s72-c/DSC7104AA-768x426.jpg)
RAIS SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR. IKULU JIJINI ZANZIBAR
![](https://1.bp.blogspot.com/-gUZqBZ9-Kpk/Xl1lxRuskfI/AAAAAAALgeQ/pmSkmuDTzcIrc3ttBUarqR-r-B-SP_cfACLcBGAsYHQ/s640/DSC7104AA-768x426.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/DSC7110AA-1024x567.jpg)
RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 , mkutano uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais)...
10 years ago
Habarileo07 Jul
Zanzibar yaongeza majimbo mapya 4
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza majina ya majimbo ya uchaguzi na mipaka huku ikiongeza idadi ya majimbo mapya manne.
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Dubai kuwekeza mawasiliano Zanzibar
KAMPUNI ya mkonga wa mawasiliano ya Aksh Opti Fibre yenye makao makuu yake nchini Dubai, imetangaza dhamira ya kusaidia kuanzisha vituo maalum vitakavyotoa taaluma ya masuala ya mitandao ya mawasiliano...
11 years ago
Habarileo31 Mar
Muungano umenufaisha Zanzibar umeme, mawasiliano
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema Zanzibar inanufaika na fursa za muungano zinazopatikana kwa kutumia huduma za nishati ya umeme na mawasiliano. Dk Shein alisema hayo kwenye Kijiji cha Ukunjwi katika Jimbo la Gando Wete, Pemba wakati alipozindua huduma za umeme kwa wananchi wa kijiji hicho.
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm5RdN2bKJ*kuiBPDEs8IfGkFARiyYg*9cthuW-vIduv-a*kMuGCH3-oFqo59M-BJKPWCZusEyWKzJBB1i2Xswdx/1.jpg?width=650)
MADARAJA MAPYA JIJINI DAR
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8nHD7aVHHww/UycxT0Oa_TI/AAAAAAAFUOo/F_3_DvzxlhE/s72-c/unnamed+(84).jpg)
BODI YA KUCHUNGUZA AJALI YA MV KILIMANJARO 2 YAKABIDHI RIPOTI KWA WAZIRI WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO ZANZIBAR