Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF kuunganisha Dar — Zanzibar kwa daraja

BAADA ya ndoto ya kuziunganisha pande mbili za katikati ya Jiji la Dar es Salaam na Kigamboni kwa daraja lenye umbali wa meta 680, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linaangalia uwezekano wa kujenga daraja la kihistoria zaidi litakalounganisha Dar es Salaam na Zanzibar.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mawasiliano mapya kuunganisha Dar, Zanzibar

SERIKALI imezindua mradi wa njia mpya ya mawasiliano unaounganisha Dar es Salaam kwa upande mmoja na Unguja na Pemba kwa upande mwingine. Hatua hiyo sasa inafanya Zanzibar kuimarika kimawasiliano hasa...

 

10 years ago

Michuzi

CCM DAR WATEMBELEA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI LINALOJENGWA NA NSSF

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (wa tatu kushoto), wakiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo. Daraja hilo linajengwa kwa  ufadhili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Wa nne kushoto ni Meneja Mradi ujenzi wa daraja hilo, Mhandisi John Msemo. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI JIJINI DAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Menaja Mradi wa NSSF Mhandisi Karim Mattaka kulia yake na afisa wa Mfuko huo Bibi Maryam Muhaji wakikagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam unaoendelea hivi sasa. Balozi Seif akipata maelezo ya ujenzi wa daraja la Kigambnoni kutoka kwa wahandisi wa ujenzi huo wakati alipotembelea mradi huo. Muonekano wa daraja la kigamboni unavyoonekana ukiendelea ya ujenzi wake chini ya wahandisi kutoka Kampuni ya Kimataifa ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI ATEMBELEA NYUMBA ZA NSSF KIJISCHI, DAR ES SALAAM

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Iddi (wa pili kulia), akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau, alipotembelea mradi wa nyumba zinazojengwa na shirika hilo, Kijichi, Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo. Makamu wa pili Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan...

 

11 years ago

Mwananchi

NSSF yatangaza hasara ujenzi daraja la Kigamboni

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imetenga Sh6 bilioni kukopesha vijana kufanya shughuli za ujasiriamali.

 

9 years ago

Michuzi

NSSF KUKABIDHI DARAJA LA KIGAMBONI JANUARI 2016

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhani Dau akitoa ufafanuzi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni wakati waziri huyo  alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo, ambapo ujenzi wake utakamilika mwishoni mwa mwezi Januari mwakani.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye...

 

9 years ago

Michuzi

MKAPA AMPONGEZA RAIS KIKWETE, NSSF UJENZI DARAJA LA KIGAMBONI

 RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa( katikati) akipokea maelezo kuhusu mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni kutoka kwa Meneja Miradi wa shirika hilo Muhandisi John Msemo (kulia kwake) alipotembelea ujenzi huo kwa mualiko maalum kutoka NSSF. Muonekano wa Daraja kwa sasa. RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Kazi na Ajira, Bi. Gaudensia Kabaka (wan ne kulia) pamoja viongozi na maofisa wa Shirika la NSSF wakiongozwa...

 

10 years ago

Michuzi

JK ATEMBELEA DARAJA LA KIGAMBONI, MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NSSF KIJICHI

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati alipotembelea ujenzi wa Daraja la Kigamboni,jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea kadi maalum ya pongezi ya siku yake ya kuzaliwa leo Oktoba 07,2014 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau.Rais Kikwete anasherehekea siku yake ya kuzaliwa leo,akiwa ametimiza miaka 64 toka kuzaliwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akagua ujenzi wa daraja la Kigamboni na mradi wa nyumba za mashirika ya NSSF na NHC

PG4A1322

Waziri  Mkuu, Mizewngo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1354

PG4A1494

PG4A1537

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba unaofanywa na Shirika la NSSF katika eno la Kigamboni jijini Dar es salaam August 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1743

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na  Bibi Doreene Mkandara na Mwanae Adastus  Aporinary ambao ni miongoni mwa wateja waliouziwa nyumba  na Shirika la Nyumba la Taifa la NHC...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani