Mawaziri 5 waangushwa uchaguzini Tanzania
Mwaziri watano wa serikali inayomaliza muda wake wameanguka kwenye uchaguzi katika majimbo yao,huku wagombea wengine wa Ubunge maarufu nao wakiangushwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Mabingwa Kenya waangushwa
Magereza ya Kenya yashindwa seti 3-0 na GS Petroliers ya Algeria fainali ya voliboli ya klabu bingwa Afrika
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
Mkurugenzi wa tume afafanua changamoto uchaguzini
Mkurugenzi wa Uchaguzi Tanzania Ramadhan Kailima amesimulia jinsi gari la tume lilivyotekwa na vifaa vya uchaguzi kuharibiwa eneo la Sumbawanga, mkoa wa Rukwa. Hiyo ni mota tu ya changamoto zilizoshuhudiwa wakati wa upigaji kura.
11 years ago
BBCSwahili20 Jan
Baraza la mawaziri labadilishwa Tanzania
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri kujaza nafasi tano zilizokuwa wazi.
9 years ago
Michuzi10 years ago
BBCSwahili07 Jul
Kifungo kwa mawaziri wa zamani Tanzania
Basil Mramba na Daniel Yona wameukamilisha usiku wa kwanza gerezani baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka.
10 years ago
BBCSwahili26 Jan
Baraza la mawaziri lazua hisia Tanzania
Siku mbili baada ya rais wa Tanzania kufanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri,kumekuwepo hisia tofauti
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Wizara tano zakosa mawaziri Tanzania
Pengo la mawaziri katika serikali ya Tanzania limefikia watano baada ya waziri wa Fedha, Dokta William Mgimwa kufariki dunia
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Rais Kikwete awateua mawaziri 8 Tanzania
Rais amewateua mawaziri wanane wapya pamoja na manaibu watano.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania